Wanaume wenye sura "personal" ndio wenye wivu uliopitiliza

Mshangazi dot com
Mama naomba waletee picha yangu 😂😂😂😂🙌
Wewe mwanangu siyo mbaya, sura imetulia, mtu akikaza macho kwa makini kukuangalia ni kama ulikua unataka kuwa handsome hivi ila bahati mbaya ukapata kidevu na lipua la baba yako.

Nikiweka picha yako humu mashangazi wenzangu watakutongoza 🤦🏽‍♀️
 
Mamy nasubri usiku wa manane nije kwa uzi wako wa uchokozi ili niwe nasoma na rafiki ako wa tabata maana kaja leo hom 😂😂😂🙌🙏🙏
 
Sura personal au sura private!. Ngoma inaenda kama inarudi, inakuja kama inaenda😂😂😂
 
Mkuu hebu badilisha hiyo title tafadhali. WANAWAKE wenye sura PERSONAL ndio wenye wivu wa kupitiliza.
 
Sio kweli mbona Mimi nina Sura ngumu na nzito ila wanawake nakula wazuri, inategemea na uzito wa mdomo wa muhusika katika kunadi sera zako kwa mwanamke, tena wanaume warembo tunawachapia sana wenza wao😎😎
 
Mwanamke hajawahi Kueleweka anataka Nini

Ivo Kusema Mwanamke anependa Hichi ni udhaifu Mkubwa sana
 
uzuri au ubaya sio kitu kigeni. kimeanza toka enzi na enzi,na kwa kuleta uwiano kila mmoja wetu kajaliwa kupata wa hadhi yake.
mfano, wewe na pisi yako kali unaweza ukatimba kijijini na kumkuta mshikaji akila mate kwa pisi inayokula ugolo.
Au, unaweza mkuta mtu mwingine huko sitimbi, anakula denda mazingira ya kwenye sherehe hadi wewe, ndio unajihisi isije ikawa wanauchokonoa ugali wa juzi.

lakini kinachomata zaidi wote hawakunyimwa raha ya kuenjoy hili tendo regardless, ujamali au ulimbwende wako.
 
Sio kweli mbona Mimi nina Sura ngumu na nzito ila wanawake nakula wazuri, inategemea na uzito wa mdomo wa muhusika katika kunadi sera zako kwa mwanamke, tena wanaume warembo tunawachapia sana wenza wao😎😎
Eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…