Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Hawa ndo wale hata akirudi saa nane usiku,
Hataki aulizwe anakwambia kwani hauli,haulali!

Nina best yangu kaolewa na mtu anaeamini kwenye pesa

I don't think if they will last longer

Nyie wanawake mna-expect to get a lot from us men, yet nyie mna-give so little to us..kama unakula vizuri, unalala vizuri, unavaa vizuri, watoto wanaenda kwenye shule nzuri, na siku-treat vibaya, what more do u need..kama nakufanyia hayo yote na bado unaona haitoshi, kachepuke au niache tu kwa kweli Hornet
 
Utapata type yako
Siyo wote wanahitaji pesa ya mwanaume
 
She was proud at the first point,
Things started to fall out when she had her first child...

Nowadays she's mourning and regret throughout the day,
I hope you can predict the next step...[emoji28][emoji28]
Why after 1st child????.Au ndo mapenzi yote yalihamia kwa mtoto??? akamsahau baba [emoji846][emoji846][emoji846]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Hujakutana na mwanamke akipenda mtu hawajali kitu
 
Why after 1st child????.Au ndo mapenzi yote yalihamia kwa mtoto??? akamsahau baba [emoji846][emoji846][emoji846]

Sent using Jamii Forums mobile app

Amekuja kuelewa kwamba mapenzi ni zaidi ya pesa
Jamaa akishatoe hela ya diapers hamuoni mpaka kesho tena
Halafu ni mume wa ndoa
Mtoto akilia unaambiwa nenda nje bwana,
Nataka nirelax nifikirie mambo ya msingi!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole Kwake!

Sent from my Infinix using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom