Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Aiseee umepotea
Furaha ya mtu haipatikani kwa mtu mwingine
Hujanitafuta mdada...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee umepotea
Furaha ya mtu haipatikani kwa mtu mwingine
Hujanitafuta mdada...
Heri ya mwaka mpya!
Hawa ndo wale hata akirudi saa nane usiku,
Hataki aulizwe anakwambia kwani hauli,haulali!
Nina best yangu kaolewa na mtu anaeamini kwenye pesa
I don't think if they will last longer
Ukisubiri furaha yako uipate kwa mwanamke/mke utapata tabu sana mkuu.
Nyie wanawake mna-expect to get a lot from us men, yet nyie mna-give so little to us..kama unakula vizuri, unalala vizuri, unavaa vizuri, watoto wanaenda kwenye shule nzuri, na siku-treat vibaya, what more do u need..kama nakufanyia hayo yote na bado unaona haitoshi, kachepuke au niache tu kwa kweli Hornet
Why after 1st child????.Au ndo mapenzi yote yalihamia kwa mtoto??? akamsahau baba [emoji846][emoji846][emoji846]She was proud at the first point,
Things started to fall out when she had her first child...
Nowadays she's mourning and regret throughout the day,
I hope you can predict the next step...[emoji28][emoji28]
Hujakutana na mwanamke akipenda mtu hawajali kituMwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Mchezo mbona ushaisha nimepigwa KO tayariDogo unakomaa na fursa naona, ngoja tuone huu mchezo utafika wapi.
Why after 1st child????.Au ndo mapenzi yote yalihamia kwa mtoto??? akamsahau baba [emoji846][emoji846][emoji846]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole Kwake!Amekuja kuelewa kwamba mapenzi ni zaidi ya pesa
Jamaa akishatoe hela ya diapers hamuoni mpaka kesho tena
Halafu ni mume wa ndoa
Mtoto akilia unaambiwa nenda nje bwana,
Nataka nirelax nifikirie mambo ya msingi!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole Kwake!
Sent from my Infinix using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie pole simpi,
Ila nampa moyo ajikaze apiganie ndoa yake!![emoji4][emoji4]
Wanawake ni watu wasio ridhika na wakipatacho, kijana huna hela utapata tabu sana kwenye ndoa
😀😀😀 usikate tamaa kirahisi, kuwa mbishi.Mchezo mbona ushaisha nimepigwa KO tayari
mapenzi hayalazimishwi bana Karucee😀😀😀 usikate tamaa kirahisi, kuwa mbishi.
Haulazimishi. Unajitahidi, women learn to love all the time, trust me.mapenzi hayalazimishwi bana Karucee