Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
kinachotutoaga machozi wababa public/faragha ni ile furaha na heshima ya kuozesha kwa ndoa, ambayo kila mzazi huitamani bt wachache pekee huipata bahati hii.

pia ile natural bond iliyopo baina ya baba na binti, hutufanya kua emotional sana hasa tunapokumbuka baadhi ya moment, mfano kibinti changu hua kinasubiri kula nami na mara zote napochelewa kinakataa kula kinalala njaa, vuta picha unakuja wakati mtu kama huyu hutoshare nae moment ka ulivozoea lazima tuchozi tutoke.
 
Ila kumbuka hata watoto wa kiume wana upendo mkubwa kwa mama kuliko baba na hata akina ni hivyohivyo kuelekea watoto wa kiume.

Hata hivyo nikupe hongera kwa kuwa na upendo kwa wote baba na mama.
Shukrani mpendwa.!! Kuwapenda watu wanaokupenda kwa dhati huja tu automatic, hutumii hata nguvu, kadri unapokea upendo wa kutosha ndivyo utatoa upendo wa kutosha pia.!
 
Jamaaani..!!
How I envy that kind of love..!
Jitahidi ukaoneshe upendo, utamsaidia sana kwenye ukuaji wake awe mtu mwema na kwa Ndoa yake pia baadaye..!
 
Jamaaani..!!
How I envy that kind of love..!
Jitahidi ukaoneshe upendo, utamsaidia sana kwenye ukuaji wake awe mtu mwema na kwa Ndoa yake pia baadaye..!
% kubwa ya watoto wa kike mna nafasi ya pekee sana kwa baba zenu, tunawapenda kupita kiasi, hadi kuna nyakati twagombana na mama zenu ni vile tu hatuwaambii.
 
% kubwa ya watoto wa kike mna nafasi ya pekee sana kwa baba zenu, tunawapenda kupita kiasi, hadi kuna nyakati twagombana na mama zenu ni vile tu hatuwaambii.
aaaaw'...!!
tunawapenda sana pia hakika, mpaka huwa tunaomba tupate waume wanaotupenda kama mnavyotupenda ila ndiyo hivyo tena maskiini..!
 
aaaaw'...!!
tunawapenda sana pia hakika, mpaka huwa tunaomba tupate waume wanaotupenda kama mnavyotupenda ila ndiyo hivyo tena maskiini..!
tamanio lako ni zuri, ila tatizo upendo wa baba na mtoto ni watofauti na huo mwingine.
 
Njoo niku-marry ndio utajua basi itakuwaje
 
Huwa inawatokea wazee wengi Sana
Kwenye harusi yangu baada ya Mimi kuniozesha aliondoka hakukaa Tena eneo lile na hatukuonana Tena mpaka nachukuliwa naenda kwa mume baba simuoni
 
% kubwa ya watoto wa kike mna nafasi ya pekee sana kwa baba zenu, tunawapenda kupita kiasi, hadi kuna nyakati twagombana na mama zenu ni vile tu hatuwaambii.
Dah kweli kabisa baba na mtoto wa kike,👍 nampenda sana baba angu, ila nakumbuka mkong'oto kidogo ukizingua mambo ya masomo🤔 ila yote najua ilikua ni ktk kuwekana sawa tu.
 
tamanio lako ni zuri, ila tatizo upendo wa baba na mtoto ni watofauti na huo mwingine.
Naelewa ndiyo rafiki yangu, ila nazungumzia kale ka feeling ka kupendwa ile true love hasa ndiyo tamanio langu'..!
 
Huwa inawatokea wazee wengi Sana
Kwenye harusi yangu baada ya Mimi kuniozesha aliondoka hakukaa Tena eneo lile na hatukuonana Tena mpaka nachukuliwa naenda kwa mume baba simuoni
Jamani pole Jane..!
Mzee alishindwa kuvumilia kuwepo eneo lile nadhani, na ulijiskiaje kuona baba hayupo around..! Hukuhuzunika zaidi..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…