Wanaume wenzangu, huwa mnapewa nini hadi mnahonga pesa ambazo zipo juu ya uwezo wenu?

Mkuu huwez tenganisha pesa na mapenz

Ukimpata mdada anae kutumikia vzr utafungua pochi bila kuambiwa

Hawa single mum wanao kaa mbali na watoto wao ndio Hatari kbsa,

Kwakuw bado nipo kwenye majonz baada ya mkewangu kuiingilia kati na kuvunja penzi langu huyu dada acha niendelee kusema
#iwillBefine#
 
Huyo Jamaa yako akishafikisha 40 ndio atakuja kuhangaika na slgan ya Kataa Noda kwa ujinga wake.

Wakati huo kashachoka kachakaa......ana kazi ya kulaumu ccm ni wezi
 
Huenda wana plan na hiyo gari iwaingizie kipato ...πŸ€”πŸ€”

Ila binafsi siwezi tumia pesa zaidi ya ninayoingiza unless Dharura inayohitaji chukuliwa hatua haraka sana ..πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…