Huduma Pendwa
Member
- Apr 21, 2023
- 53
- 172
Mkuu, kwani Mleta Uzi anahisi nini labda?!!!🤣🤣🤣Ukiachana na hicho unachohisi wanapewa lakini kuna wadada ni mawizadi sana, wanakutengeneza mpk unajikuta huelewi yaani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwani Mleta Uzi anahisi nini labda?!!!🤣🤣🤣Ukiachana na hicho unachohisi wanapewa lakini kuna wadada ni mawizadi sana, wanakutengeneza mpk unajikuta huelewi yaani...
Kama haka kamcheps ka sasa kananipelekesha kweli kweli yaani mie mzabzab wakumtumia laki 3 mrembo kweli 🥺🥺Never anda estimeti the power of puss🤔🤔🤔
Nimecheka haswa dah! wadau mnamanenoWakati huo kashachoka kachakaa......ana kazi ya kulaumu ccm ni wezi
Dogo,
Siyo akili kuruka, sema wewe bado hujapatwa.
Wale wanaohonga nyumba, magari na mitaji juu siyo wajinga. Ukikua utajua.
Ila ukweli usemwe, mwenzio kazingua kukopa na kuhonga zaidi ya mshahara wake!
View: https://youtube.com/shorts/r7Ev6u7yti8?si=zrWDsherYJvltTuV
Mkuu hawa wanaume unaowaona sasa umri umeenda hawana chochote maisha yamewapiga sio kwamba hawakuwa na fursa wakati wa ujana wao.Nimecheka haswa dah! wadau mnamaneno
Hakuna chalibwata wala nini ni ulimbukeni na kutokomaa kiakiliWaswahili wanakwambia limbwata.
Kanda ya ziwa wanaita unapigwa shuntama....😄
Wanaume wengi wanadhani kwa kutoa offer za hapa na pale ndio watapendwa.....Game iko viceversa. You only need to show Manly hood.Mwanaume yoyote unaendeshwa na nguvu ya pussy ujue ujakomaa kiakili, limbukeni na siku zote utakuwa mtumwa wa mwanamke Miaka yako yote mbona Mimi nafanyiwa vitamu niwekuwa na demu ananifanyia masaji, napewa viuno feni na hata huyu wasasa kina nikimuhitaji napewa na ufundi juu na wakati mwingine ye ye ndio ananihitaji lakini sijawahi kumpa demu hela yangu nje ya uwezo wangu au vile vikubwa but napendwa vibaya. vijana wengi mnakuwa watumwa wa pussy kwasababu pia hamuwaridhishi mademu zenu ndio maana mnapewa kwa kuadiliwa.
Hakuna chalibwata wala nini ni ulimbukeni na kutokomaa kiakili
Wengi ni MA-SIMPRafiki yangu leo amekuja kwangu na kunikopa laki moja, nikampatia kama kawaida yetu ya kusaidiana. Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya dakika kadhaa akarudi na kunieleza kuwa alikuwa anataka aogezee kwa laki tano hili ifike laki sita aliyoombwa na bimdada atengeneze gari.
Nikabaki nimeshtuka! Jamaa hajaoa, wala si wachumba, lakini yupo tayari kutoa pesa nyingi kiasi hicho, na mshahara wake ni laki nne na elfu arobaini tu. Nimejaribu kumshauri kwa upole, lakini ukweli nimesikitika.
Hii imenifanya niwaulize wanaume wenzangu, hivi huwa mnapewa nini mpaka mnahonga kiasi hiki? Au mimi ndio sijawahi kupata penzi la kunifanya niweweseke? 😂 Mimi binafsi sijatoa hela ila nimeumia, maana nimeamini kwamba wanaume wengi hatuendelei kwa sababu ya mapenzi.
Nimebaki najiuliza kuwa
- Je, ni busara kutoa fedha nyingi kwa mwenza ambaye huna uhakika wa hatma ya uhusiano?
- Je, kuna njia bora za kuonyesha mapenzi bila kuhatarisha hali ya kifedha?
- na huwa mnapewa nini hadi akili zinawaruka.
Kabisa mkuuWanaume wengi wanadhani kwa kutoa offer za hapa na pale ndio watapendwa.....Game iko viceversa. You only need to show Manly hood.
Tena pale Mwanaume unapojicontrol mambo ya Pussy wanawake wanakutamani sana.
Pussy imewafanya wanaume wengi kua masikiniRafiki yangu leo amekuja kwangu na kunikopa laki moja, nikampatia kama kawaida yetu ya kusaidiana. Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya dakika kadhaa akarudi na kunieleza kuwa alikuwa anataka aogezee kwa laki tano hili ifike laki sita aliyoombwa na bimdada atengeneze gari.
Nikabaki nimeshtuka! Jamaa hajaoa, wala si wachumba, lakini yupo tayari kutoa pesa nyingi kiasi hicho, na mshahara wake ni laki nne na elfu arobaini tu. Nimejaribu kumshauri kwa upole, lakini ukweli nimesikitika.
Hii imenifanya niwaulize wanaume wenzangu, hivi huwa mnapewa nini mpaka mnahonga kiasi hiki? Au mimi ndio sijawahi kupata penzi la kunifanya niweweseke? 😂 Mimi binafsi sijatoa hela ila nimeumia, maana nimeamini kwamba wanaume wengi hatuendelei kwa sababu ya mapenzi.
Nimebaki najiuliza kuwa
- Je, ni busara kutoa fedha nyingi kwa mwenza ambaye huna uhakika wa hatma ya uhusiano?
- Je, kuna njia bora za kuonyesha mapenzi bila kuhatarisha hali ya kifedha?
- na huwa mnapewa nini hadi akili zinawaruka.
Hiyo ni tabia ya mtu tu, kuna wengine wanapenda kuchunwa.Rafiki yangu leo amekuja kwangu na kunikopa laki moja, nikampatia kama kawaida yetu ya kusaidiana. Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya dakika kadhaa akarudi na kunieleza kuwa alikuwa anataka aogezee kwa laki tano hili ifike laki sita aliyoombwa na bimdada atengeneze gari.
Nikabaki nimeshtuka! Jamaa hajaoa, wala si wachumba, lakini yupo tayari kutoa pesa nyingi kiasi hicho, na mshahara wake ni laki nne na elfu arobaini tu. Nimejaribu kumshauri kwa upole, lakini ukweli nimesikitika.
Hii imenifanya niwaulize wanaume wenzangu, hivi huwa mnapewa nini mpaka mnahonga kiasi hiki? Au mimi ndio sijawahi kupata penzi la kunifanya niweweseke? 😂 Mimi binafsi sijatoa hela ila nimeumia, maana nimeamini kwamba wanaume wengi hatuendelei kwa sababu ya mapenzi.
Nimebaki najiuliza kuwa
- Je, ni busara kutoa fedha nyingi kwa mwenza ambaye huna uhakika wa hatma ya uhusiano?
- Je, kuna njia bora za kuonyesha mapenzi bila kuhatarisha hali ya kifedha?
- na huwa mnapewa nini hadi akili zinawaruka.
Uchawi upo Mzee mi Kuna demu nilikuwa naye Kuna kipindi alikuwa akija ghetto na kitambaa chake Cha kufutia mikono cheupe wakati WA mechi anafutia shahawa sijui alikuwa anazipeleka wapi? Ila baadae nilisanukaRafiki yangu leo amekuja kwangu na kunikopa laki moja, nikampatia kama kawaida yetu ya kusaidiana. Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya dakika kadhaa akarudi na kunieleza kuwa alikuwa anataka aogezee kwa laki tano hili ifike laki sita aliyoombwa na bimdada atengeneze gari.
Nikabaki nimeshtuka! Jamaa hajaoa, wala si wachumba, lakini yupo tayari kutoa pesa nyingi kiasi hicho, na mshahara wake ni laki nne na elfu arobaini tu. Nimejaribu kumshauri kwa upole, lakini ukweli nimesikitika.
Hii imenifanya niwaulize wanaume wenzangu, hivi huwa mnapewa nini mpaka mnahonga kiasi hiki? Au mimi ndio sijawahi kupata penzi la kunifanya niweweseke? 😂 Mimi binafsi sijatoa hela ila nimeumia, maana nimeamini kwamba wanaume wengi hatuendelei kwa sababu ya mapenzi.
Nimebaki najiuliza kuwa
- Je, ni busara kutoa fedha nyingi kwa mwenza ambaye huna uhakika wa hatma ya uhusiano?
- Je, kuna njia bora za kuonyesha mapenzi bila kuhatarisha hali ya kifedha?
- na huwa mnapewa nini hadi akili zinawaruka.
Rafiki yangu leo amekuja kwangu na kunikopa laki moja, nikampatia kama kawaida yetu ya kusaidiana. Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya dakika kadhaa akarudi na kunieleza kuwa alikuwa anataka aogezee kwa laki tano hili ifike laki sita aliyoombwa na bimdada atengeneze gari.
Nikabaki nimeshtuka! Jamaa hajaoa, wala si wachumba, lakini yupo tayari kutoa pesa nyingi kiasi hicho, na mshahara wake ni laki nne na elfu arobaini tu. Nimejaribu kumshauri kwa upole, lakini ukweli nimesikitika.
Hii imenifanya niwaulize wanaume wenzangu, hivi huwa mnapewa nini mpaka mnahonga kiasi hiki? Au mimi ndio sijawahi kupata penzi la kunifanya niweweseke? 😂 Mimi binafsi sijatoa hela ila nimeumia, maana nimeamini kwamba wanaume wengi hatuendelei kwa sababu ya mapenzi.
Nimebaki najiuliza kuwa
- Je, ni busara kutoa fedha nyingi kwa mwenza ambaye huna uhakika wa hatma ya uhusiano?
- Je, kuna njia bora za kuonyesha mapenzi bila kuhatarisha hali ya kifedha?
- na huwa mnapewa nini hadi akili zinawaruka.
Nina KADEMU kastahili iyo yaani Kila tukikutana tu chenyewe ni matatizo tu mwanzo mwisho yaani mpaka kahakikishe Sina ata bukuUnaanza mahusiano na kabinti, move yake ya kwanza ni kukuambia list ya matatizo yake!
Why wanaona kukuambia matatizo yao ni sehemu ya kuvutia mapenzi?
Angekula nauli😀😀 mi Kuna demu amekula 50k yangu alikuwa anangangania vibaya aje uku ninapokaa maana ye yupo mkoa mwingine basi bhana Kila siku ananisumbua nimtumie nauli ile Kutuma tu nikatumiwa namba eti ya Maza yake kamkatalia kuja mpaka niongee naye nikamchana aache ushamba anirudishie nauli Hadi Leo hajanitafuta ,nikajisemea kweli mademu wengi ni wasenge na sio wakuwaulumia ,ukiwaulumia utaingia mkengeJuZ ilibaki kidogo nimlipie mtu nauli ya dar...marangu coach