NNi
Upumbavu huo, wengine tumepatwa sana ila hatujawahi kuhonga zaidi ya elfu 30 na uwezo wa kuhonga laki Tano tulikuwa nao, ni kuishi kwa akili na mahesabu, utamu wenyewe unaupata kwa dakika chache, ungekuwa unahonga pale unapopagawq na utamu hapo sawa, ila kuhonga hela nyingi kipindi kingine ukiwa na akili timamu, huo ni ufala.
Dogo,
Siyo akili kuruka, sema wewe bado hujapatwa.
Wale wanaohonga nyumba, magari na mitaji juu siyo wajinga. Ukikua utajua.
Ila ukweli usemwe, mwenzio kazingua kukopa na kuhonga zaidi ya mshahara wake!
View: https://youtube.com/shorts/r7Ev6u7yti8?si=zrWDsherYJvltTuV