Wanaume wenzangu, huwa mnapewa nini hadi mnahonga pesa ambazo zipo juu ya uwezo wenu?

Pia unaposikia watu wamekatakata mtu mapanga ,uliza chanzo,... nothing is free,..na wanawake wengi hawaelewi hili.....

Hela yangu chukua,...but just wait 🔨
 
Huna hela tuu, watu tunahonga mijengo kule Mbweni, unashangaa laki 6 tuu?
Mugabe alitaka kuhonga nchi wakamshtukia wàkamnyang'anya!
Nyie watu mnaohonga wanawake vitu vikubwa vikubwa au hela nyingi mnatuharibia sana wanawake. Nyie ndio mmesababisha sisi pangu pakavu tunakaziwa tunaonekana kama mbuzi tu. Imefika mahali hata wanawake wa kawaida kabisa nao wanataka kuhongwa mpunga mrefu kisa wanasikia wenzao wanatajirika kwa kuhongwa! Wengine hawataki tena hata kufanya kazi wanategea kupata mwanaume mwenye hela awahonge.

Chonde chonde tunaomba tuzingatie bei elekezi ya kuhonga ni Tsh 10,000 - 50,000 sio zaidi ya hapo!

Asanteni.
 
Nimekaa hapa nisome sababu ya msingi hata hamna mnarukaruka tu.....mme wangu alikamatika kwa rafiki yangu aisee sijui yule dada alimfanya nn baba watoto imagine unaomba elf 20 ukamnunulie nguo mtoto angalau za mtumba za elf 1 ,1 maana tuliishiwa nguo jamaa anajibu sina hela alafu siku hiyo anaenda kukutana na rafiki yangu lorge ya 30 na baada ya mechi kapewa laki ya asante.....
Siku nyingine mtoto alivunjika mkono tulitakiwa kusafir twende hospital ya rufaa kwenda kutolewa POP....jamaa alidai hana hela ya nauli ikabidi tukamtoe dispensary mpaka leo mtoto mkono umepinda kidogo... Na kesho yake alimtumia rafiki yangu laki 2....achà kabisa nyie watu akili zenu mnazijua tu nyinyi
 
Duh inasikitisha kwanini uliolewa na mtu kama Huyo?
 
Nyie watu mnaohonga wanawake vitu vikubwa vikubwa au hela nyingi mnatuharibia sana wanawake. Nyie ndio mmesababisha sisi pangu pakavu tunakaziwa tunaonekana kama mbuzi tu. Imefika mahali hata wanawake wa kawaida kabisa nao wanataka kuhongwa mpunga mrefu kisa wanasikia wenzao wanatajirika kwa kuhongwa! Wengine hawataki tena hata kufanya kazi wanategea kupata mwanaume mwenye hela awahonge.

Chonde chonde tunaomba tuzingatie bei elekezi ya kuhonga ni Tsh 10,000 - 50,000 sio zaidi ya hapo!

Asanteni.
Toka umezaliwa ulishaona au kusikia wanawake wanapata utajiri kwa kuhongwa? Hata uhonge vipi hawapati utajiri ila wanaishia kupata mimba na kuwa ma single maza.
Usiogope kuhonga, kuhonga ni moyo si utajiri.
 
Issue sio yeye kupata utajiri Je wewe kama wewe unafaidika na nini kwa kumuhonga Huyo manzi
 
Back
Top Bottom