Wanaume wenzangu, huwa mnapewa nini hadi mnahonga pesa ambazo zipo juu ya uwezo wenu?

Hii ni stori ya kweli au Rafiki yako naye anakurusha roho tu? Maaana wanawake nawajua hasa hawa wa uswazi.
 
Kweli lakini aisee.

Unakuta demu kapanga Chumba master tv kali, redio kali. Fenicha kali na hana kazi.

Akiwasimulia wenzake wanacganganyikiwa.

Ukija kutupia nyavu hata kama unataka kuoa aisee hakuna rangi utaacha kuona. Maana anataka na yeye apate vitu kama wenzake. Ajione wa thamani.

Uzuri ni kwamba Wahongwaji asipokuwa Single maza basi anaambulia Ukimwi.
 
This thread is full of liars but in real life wanaume bahili ni wachache sana
 
Kei ni tunda linaloongoza kwa kuliwa kila siku, ukiachana na nyanya. K ni faraja, K ni maumivu pia kama huna pesa.
 
Pole sana kpnz,nimeumia sana aisee,yaani mtoto anapinda mkono kwasababu ya mchepuko?

Mimi huwa sibariki kuchepuka lkn huwa naona kama itabidi ufanye unayofanya ila familia kwanza narudia tena familia kwanza

Jali familia yako kwanza hao ndio ndugu zako
 
Kweli anashepu sana yan ukimuangalia na 8 haswa
Ni kweli si umeona sasa, na K yake lazima iwe tamu, sisi wanaume mtu akiwa na K ya ovyo ovyo mfano libwawa sililo na ladha, tukipiga mara moja haturudii tena hata uwe mzuri vipi, tunachotaka ni utamu.
 
Hatari sii mchezo
🤣
Kuna jamaa muuza nguo za kike alikuwa anahonga mdada mmoja singo maza mmoja mweupe na ana shepu namba 8, juu mwembambaa chini kajaa nyama, jamaa alituambia vipimo vya demu wake kipimo kilikuwa:Kiuno inch 28,hipsi inch48. Jamaa alisema "msinipangie kazi ya hela zangu, acha nienjoy huu mzigo" huyo dada nahisi alikuwa na K tamu ya moto. Jamaa alikuwa anahonga hela kama mpumbavu 🤣🤣
Alihonga mpaka akafilisika 🤣🤣
 
Mwamba kamaliza kila kitu halafu tako skonzi wanakuwaga watamu sana kitandani unapiga unaridhika 🤣
ili mwanaume apagawe, demu hatakiwi kuwa mzuri sana, awe na K tamu tu inatosha, ushawahi kuona mwanaume anaacha mkewe mzuri kishenzi, anaenda kwa mwanamke asiyepostika? Unafikiri anafata nini kama siyo utamu wa K uliokithiri.
 
Ukiachana na hicho unachohisi wanapewa lakini kuna wadada ni mawizadi sana, wanakutengeneza mpk unajikuta huelewi yaani...

Usipokuwa na Kristo ndani yako unalogwa sanaaa mpaka ukome.yaani unakuwa kama robot.atakachoswna unafanya faster.Wanawake wengi siku hizi wanzitafuta hela kwa nguvu nyingi sana,hasa nguvu za giza.Tena ikitokea wewe ni mfanyabiashara au mfanyakazi ukubwa wa tatizo unaongezeka zaidi
 
We

Wengi ni MA-SIMP
Ni dalili ya umasikini
Huwezi Kuta muarabu ama muhindi anafanya huu upumbavu,...........
Kwanza umeanza vizuri lakini ukaja kuyaweka hayo majitu mashamba yaani waarabu na wahindi?? Au unawaona kwenye tivii?
Hakuna mtu limbukeni kama muarabu mdogo wangu
Tunawajua na kuwaona sana maana tushaishi nao sana..
 
Duuuh huyo demu tapel mkuu ukiona demu ana fosi mambo ujue huyo ni shida mkimbie.
 
Kwanza umeanza vizuri lakini ukaja kuyaweka hayo majitu mashamba yaani waarabu na wahindi?? Au unawaona kwenye tivii?
Hakuna mtu limbukeni kama muarabu mdogo wangu
Tunawajua na kuwaona sana maana tushaishi nao sana..
Wahindi na waarabu ni wageni kwenye wanawake.
 

Shida ni pale unapoingiza hisia kali kwenye mapenzi, unatakiwa kuweka hisia pembeni na kufuata uhalisia then utaweza kufikiria kwa usahihi. Hilo ni jambo linawatokea wanaume wengi, by nature ukimpenda mwanamke unataka umtatulie matatizo yake yote, sasa wengine wana matatizo kama mvua akigundua wewe unampenda sana. Ni muhimu kuwa makini, maana wengine ni wahuni, utaletewa matatizo ukija kushtuka umefilisika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…