Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

Wewe nae hauna akili. Unatongoza mwanamke ambaye unafanya nae kazi ofisi moja? [emoji848]

Kuna shida nyingi, inaweza kutokea. Mfano, boss anamfokea mbele yako au unafokewa mbele yake utajiskiaje?

Anatukanana na mwenzake au wamepishana kauli hapo unafanyaje?

Sikushauri kabisa haya mambo achana nayo.

Kwasababu umeshaharibu tayari unachotakiwa kufanya ni kumuendea taratibu huyo binti. Fanya kama ulienda kwa pupa then unajipanga upya.

Mwanamke akikukataa si kwamba wewe ni mbaya ila tafasiri yake ni kuwa kuna mambo mengine ambayo yanamuwia ugumu kukukubalia wakati mkiwa katika mazingira hayo ya kazini.

Inaweza kuwa ni mpo ofisi moja, umemuendea speed sana alitaka mzoeane taratibu kabla hajakuona kama mpenzi, haujajiweka vizuri kuwa mwanaume ambaye atamuamini na kupresent kwa wenzake kuwa huyu ni mtu wangu.
 
Kuwa na relationship na workmate si nzuri sana mkuu. Ila kwasababu imeshatokea potezea hiyo ishu, usiwaze tena, baada ya muda utaona life inaendelea kama kawaida.

Kwenye hii dunia mwanaume kupatwa na aibu labda ithibitishwe una tabia kama za kina lokole, lakini hayo mengine hayakoseshi mtu usingizi.

Manzi kama alikukataa kistaarabu endelea kumsalimia tu mnapokutana, ila kama alikusuta wakati wa kibuti, usimpe tena attention, itamuuma tu. Hawa viumbe hata kama amekupa kibuti, ukikata attention kwake anakosa furaha.
 
Mchangamkie usionyeshe kumnunia, halafu ulitakiwa umtongoze kiujanja ujanja usiende Direct.
 
Extrovert ukishakamata co-worker mwingine, sijui kwasababu zipi yule aliyekupa kibuti huwa anaumia!
Hizo ndio mbinu za kimedani, yule aliokataa lazma atajaa tu kwenye mfumoπŸ˜‚ unachotakiwa ni kujifanya humjali tena ili awahi kurudi kwako.
 
Hizo ndio mbinu za kimedani, yule aliokataa lazma atajaa tu kwenye mfumoπŸ˜‚ unachotakiwa ni kujifanya humjali tena ili awahi kurudi kwako.
Extrovert Yes, humpi tena attention lazima awe mdogo.

Nimekuja kugundua hata kutokumpa salamu yako mwanamke yeyote unapokutana nae ni miongoni mwa technique za kumnyima attention yako na hata hiyo kutosalimiwa huwa inawaumiza wanawake.
 
Wanaume wenzako huwa hatutongozi wafanyakazi wenzetu wala kuleta mapenzi sehemu za kazi.

Hii ni torat

Mkuu ata mimi nimemtogoza kipngozi wangu wakike naona anaingia ndani ya box.
 
Ni mbaya sana uki imagine ila chemistry ya manzi na wewe itakuelekeza kabisa kwamba huyu nikitia voko ni bie au cha mbavu
 
Weeh wizo kumbe unatongozaga mademu.?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwamba wa kaskazini umemsikia wizo huku 🀣
 
Wizo si ndio alikupiga mkwara akakuambia atakupiga na hogo la papuchi πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimekuita umuone wizo tabia zake, kumbe akitongoza hakataliwi na mademu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…