Upambavu mtupu, naona wengi mnajifariji hasa wanawake wasio na akili za kuchanganua mambo,
Una date vipi na mtu hujui lengo la mahusiano yenu ? Kuna ile kila mtu ni apunguze hisia tu baada ya hapo kila mtu ataoa au kuolewa na mtu mwingine kabisa,,
Na unampangia vipi mwanaume suala la kukuoa, ukiona mtu haeleweki kwann ung'ang'anie mahusiano ambayo lengo la ndoa huoni ?
Kingine ndoa changa wanakufa pia wanawake wengi kwahiyo nao tatizo ni nn ? Kwamba nikamloge mtu kisa kakataa nisimuoe ? Kwamba yeye ndo mzurii sana au mwenye akili sana au ndoa yetu ndiyo itadumu ?
wanawake acheni kujipa umuhimu na kazi ambazo sio zenu, upo kwenye mahusiano nani kakupa kazi ya kufua unapika, mara umehamia wiki mara mwezi, mbona utaula wa chuya ??
Punguzeni kujirahisisha huko ndiko kunawaumiza kihisia na kuona umepotezewa muda,,,
Hakuna ushahidi wa wanandoa wanaokufa muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwamba ni matokeo ya usaliti,,, hakuna
Na ukifanya Hilo karma itakutafuna mpKa ukae sawa,
Binti fanya kazi, acha kuweka tegemezi kwa me na hasa ninyi ndo mliitaka 50/50 basi fanya kazi maake wanaolilia ndoa wengi ni unakuta ...........
Nipo kwa ndugai baadae