Wanaume wenzangu, tujihadhari na ahadi za rejareja au kuahidi unamuoa mtu

Wanaume wenzangu, tujihadhari na ahadi za rejareja au kuahidi unamuoa mtu

Ahadi feki za wanawake zinatokana na USALITI wa wanaume

Pale mnapofunua mnafunika na kuacha wazi...

Kama humtaki unamfunua wa nini?

Maumivu ndo yamefanya mwanamke awe kiumbe mbaya
Siamini kama ni wewe Mama mchungaji umeandika hizo hoja!
Dini zote kuu zinakataza uzinzi/zinaa (Kufanya mapenzi nje ya ndoa)

Kwanini ukubali kufunuliwa? kufunuliwa sio guarantee ya ndoa,je kama mzinifu mwenzako hakupendezewa na hicho kipochi?
Wanawake wengi tu wamewasaliti wanaume waliokua nao na kuolewa na wanaume wengine kwa tamaa zao tu,hasa tamaa za kipato.
 
Rubbish!

Wewe umethibitishaje kua Wanaume wengi hufariki baada ya kuoa coz kuna wanawake waliwaahidi ndoa ila hawakuwaoa?
Leta hapa full details za hiyo research yako.

Let argue with fact and reasoning and not fantasie.
Niliona nisikujibu, lakini pengine naweza nikawa nimekusaidia

Ulimwengu huu tunaoishi binadamu tuna exist in two form Physically na Spiritually

Lakini kama unaishi kwa level ya Physically hauna tofauti na hayawani (wanyama) pengine nimezungumza vitu vya level ya juu ya akili na ufahamu wako na ndio shida imeanzia hapo.

Pole
 
Rubbish,

Bora hata ungeendelea tu kukaa kimya coz huna jibu la swali langu,

Huu ujinga peleka kwenye kijiwe chenu cha Bodaboda,hapa JF lazima ulete fact.
 
Upambavu mtupu, naona wengi mnajifariji hasa wanawake wasio na akili za kuchanganua mambo,

Una date vipi na mtu hujui lengo la mahusiano yenu ? Kuna ile kila mtu ni apunguze hisia tu baada ya hapo kila mtu ataoa au kuolewa na mtu mwingine kabisa,,

Na unampangia vipi mwanaume suala la kukuoa, ukiona mtu haeleweki kwann ung'ang'anie mahusiano ambayo lengo la ndoa huoni ?

Kingine ndoa changa wanakufa pia wanawake wengi kwahiyo nao tatizo ni nn ? Kwamba nikamloge mtu kisa kakataa nisimuoe ? Kwamba yeye ndo mzurii sana au mwenye akili sana au ndoa yetu ndiyo itadumu ?

wanawake acheni kujipa umuhimu na kazi ambazo sio zenu, upo kwenye mahusiano nani kakupa kazi ya kufua unapika, mara umehamia wiki mara mwezi, mbona utaula wa chuya ??

Punguzeni kujirahisisha huko ndiko kunawaumiza kihisia na kuona umepotezewa muda,,,

Hakuna ushahidi wa wanandoa wanaokufa muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwamba ni matokeo ya usaliti,,, hakuna

Na ukifanya Hilo karma itakutafuna mpKa ukae sawa,

Binti fanya kazi, acha kuweka tegemezi kwa me na hasa ninyi ndo mliitaka 50/50 basi fanya kazi maake wanaolilia ndoa wengi ni unakuta ...........

Nipo kwa ndugai baadae
 
Miongoni mwa alama za UNAFIKI ni KUAHIDI halafu utimizi,

JIHADHARI NA AHADI YOYOTE ILE AMBAYO UNAJUA HAUTAITIMIZA .
 
Ahadi feki za wanawake zinatokana na USALITI wa wanaume

Pale mnapofunua mnafunika na kuacha wazi...

Kama humtaki unamfunua wa Nini?

Maumivu ndo yamefanya mwanamke awe kiumbe mbaya
Umekuja kutetea au ""kusolve?""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Unaoa for which purpose?
We piga pumb.u kisha pita hivi.
 
Eti hawataki mchezo wanawake wa nchi gani unawazungumzia
Jichanganye ufe kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali
Wapo kimaslahi zaidi
Tafuta hela na linda afya yako ndo mtaji wa leo na kesho
wanawake huwajui wewe
 
Back
Top Bottom