Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

""ukiona mpka mwanamke anafikia hatua anakuomba pesa

Na kama huna pesa hakuna maelewano mazuri tambua mambo makuu matatu.......

1.wewe ameshakuchukulia ni ngazi ya kutimiza malengo yake.

2.sura yako na umbo lako limefanana na ATM MACHINE AU DUKA LA TIGOPESA AU MPESA

3.wewe ni baba mzazi wa hiari mwenye jukumu la kumlea yeye kama mtoto wake.
 
Singles tunaishi kwa raha kweli.
Kuna jamaa angu aliniambia wanawake wanarudisha nyuma maendeleo ya mwanaume.
N.B alizungumzia wanawake hawa wa kuanzisha mahusiano unapokutana nae sio mke.
 
Inawezekana wewe hunajielewa wala kumuelewa mleta mada
sizungumzi kutomtunza wala kutomsaidia mpenzi wako

mtoa mada anazungumzia mizinga ya kila siku isiyoendana na bajeti
wala mipango ya pamoja...
Hapo chawa le Boss, ila mwanzoni mnavyojiweka Ndo inapelekea yote hayo.Kwetu Mimi Ni mrith wa trust Fund, Mara Ivi...kwa nini usiombwee.Mizinga????? Mtafutie.biashara.Tatizo MTU hatoi chochote.Inategemea nini.Mwingine mpaka anafeki kuumwa' jamaa linakomaa mpaka kwenda kununua Dawa!! Badilikeni.Sio wewe, wenzako
 

Hiyo ya ku fake maugonjwa muibadilishe pia
ishakuwa well known ...hahaha

Tanzania hii warithi wa Trust Fund labda trust funds za ubuyu....
wengi mule mule tu
 
Hiyo ya ku fake maugonjwa muibadilishe pia
ishakuwa well known ...hahaha

Tanzania hii warithi wa Trust Fund labda trust funds za ubuyu....
wengi mule mule tu
Al_watan...Ndo anadai kampata Mwanamke mrith wa trust Fund..Na Yy anayoo.Nimechekaaa labda ya Ubuyu kweli.Jamaniiiiiiii
 
Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...

Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
Sasa wewe unatiharibia bwana!!
 
hahhahahhhahahahahaha serious yanajulikanaga sn tu macho juu juu ful kutega hahah nasemaga ningekuwa men ht 100 yangu demu asingekula llabda wife aic yaan nakumega na hela sikupi full SAUNDI TU MJINI HAPA
Hahahaha khaaa[emoji14] [emoji14] [emoji14] ungekuwa men ungekuwa mimi..yaan mimi na protocol yangu hiyo...mwanamke anaeyependa hela simpi na mwanamke asiyeomba hela basi ndo namhonga kama zuzu hivi basi ukijifanya tu baby sijui hivi sijui vile basi umefeli ...ukiwa mpole tu unakuja nakusepa basi mwenyewe najiongeza mara kanunue viatu vya masai mara shika pesa hii fanya unalotaka....au ukitaka nikuhonge usilete kiswahili kingi...nenda straight tu nina shida ya hela hii nataka kufanya kutu hiki sio maneno mengiiii
 
Ukiona mtu analalamika na kudai haumuonei huruma it means unamkamua zaidi ya uwezo wake.

Yes ni jukumu lao kutuhudumia, lkn isiwe nje ya uwezo wake!! Una mahitaji yako na majukumu yako so he has his too. Ana ndoto zake za kutimiza pia, sasa kama hauzijali ndoto zake it means hauna mpango wa kuziishi hizo ndoto zake, na kwa maana nyingine hakuna upendo hapo..

Mwanaume unaempenda utataka kuona ana endelea zaidi, kwahiyo badala ya kumchuna tu utakuwa pia na mawazo ya kumsaidia kuongeza kipato, maana akipata it means umepata pia.
Kumbuka si kuwa kwakuwa wao ni wanaume basi pesa wanapata kirahisi tu.



Sijui mekula maharage ya wapi leo mimi.
Cc Nalendwa Heaven Sent
 
Una matatizo ww sio bure[emoji12]
 

Mmmh hii comment ni kwamba naota au macho yangu ndo uzee umekolea?
 
Dawa ni kuwa na principles zako,unatoa kwa willingness yako,siyo mtu anakuforce,au kutengeneza matatizo ili akuchune,ukiona mtu anataka kukufanya kitega uchumi run brother, bora akuone boya,kuliko kukufanya lofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…