Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...

Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
upo sawa kabisa, na mwanaume kutumia nguvu nyingi sana hasa pesa kumfurahisa mwanamke ni kujiandaa kuvuna mabua...hapo kuna kua na kijibiashara flani hivi
 
We umekutana na wajasiria mwili huko unaanza kulialia binafsi sijawahi kuombwa hela na mwanamke tunaependana.
 
Mchekeshaji Trevor Noah wa Afrika kusini alinukuliwa akisema "Remove Sex from the relationship, you will find that a woman has nothing to offer in that relationship"
Mengine tujiongeze wenyewe
 
Jiongeze,tafuta pesa zako sio unategemea kuongwa na wanaume.
 
Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...

Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
sawa the boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…