WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

Mwache aende mzee ni ngumu ila let her go ,mtakie kheri
 
Daah kisa chako kinahuzunisha sana uyo binti namuonea huruma swala la ndoa apo an miaka 3 tu ya kubet cha msingi mshikilie
 
Inaweza isiwe tamaa ya mali za huyo mwamba, ynaweza kuwa mapemz halisi tu man. Hii wewe haipaswi kuwa buzness yako kuwaza why madam kampenda mchiZ, haikuhusu sana kabisaa. Kikubwa kama yeye kakutema mwanangu we kubaliana na hali mtakie maisha mema aendelee na life lake na wewe take advantage ya hii time period kujipanga. Maana kama imefikia hatua hata mama mkwe amekosa adabu kumtamkia maza ako manenonya hovyo hayo kwamba we tafuta mwanamke mwimgine bas man usijizime data kujifanya huelewi kwamba hapo hutakiwi na hupendwi, sio tu na manz bal mpaka wazaz wake.

Usijivike harakati za kutaka kuonyesha umwamba kwasasa kwa kuanza ku file kesi za kumchukua mwanao, hapana, achana na ugomvi huu wa kitoto. Kwasasa potea kabisa, achana na habar za kuwatafuta sijui kumjulia hali dogo janja ,acha hizo pigo. Tumia wakat huu kujitafuta mpaka ujipate. Jitafute kwel kwel bwana mzee sio mapambano ya kimaonyesho wala kimzaha mzaha. Pambana kwel man. Piga kaz sana kwa hiki kipindi ambacho bado mapenz yao yako hot na husumbuliwi pesa ya malezi.

Mwisho wa siku ukifanikiwa na kuwa na pesa, bas wanawake utawaona wa kawaida sanaa kama ambavyo yeye sasa hiv anakuona huna maana. Why? Huna was nani atakubabaisha na uko well of?

NB
Usijitume kutafuta maisha kwa lengo la kumvumbia huyo manzi.
 

NAKAZIA
 
ACHA UJINGA BWEGE WEWE[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Daah aisee wee jamaa pole sanaaa...!!!
 
Wanawake bhn,tukiwaambia hamuwezi kukaza mnakataa nini sasa??? Sa mtoto kakaza weeeeeh mwisho mwenyewe kaachia..FEAR MEN
Inategemea na mwanaume mwenyewe. Kuna wengine wanakaziwa milele na milele.
 
Mkuu kwakweli mimi sioni ulipokosea,kwanza haukumbaka yani aliridhia haijalishi ulimshawishi ama la,pili hakukwambia kama yupo katika fertile days,halafu mkuu ilikuwa miaka gan hiyo amabayo mlishindwa tumia hata p2 kuzuia mimba isitungwe
 
Asante Sana bingwa umenionyesha Nini nifanye wapi nianzie Nashukuru kwa ushauri wako BigπŸ™πŸ™πŸ™ Japo nilichokuwa nikikifanya kwasasa Ni kumhudumia mwanangu kwa kula anachohitaji make dogo anaingia darasa la tatu mwakani na mamaake aliforce kumpeleka private yeye na mama mkwe wangu wote waliforce mtoto aende huko nikaona isiwe kesi nikaamua kujinyima kabisa nimgaramikie tu amalize primary na ndicho ninachokifanya saivi nawasiliana na Huyo Mzazi mwenzangu make tupo wilaya tofauti nikiwasiliana nae ananambia dogo anachohitaji namtumia ananunua then anapiga picture ananitumia whatssup pamoja na risiti then ananipa simu naongea na dogo inaishia hapo..hayo ndiyo maisha ninayoishi kwa kipindi hicho...
 
Mwache aende mzee ni ngumu ila let her go ,mtakie kheri
Pamoja Sana mkuu,πŸ™πŸ™ hamna namna kisicho riziki ama kweli hakiliki kinachoniuma Ni mtoto Kuja kuanza kuitwa huyu Ni Kaka etu Ila wa baba mwingine...Ila ishatokea nikubali matokeo tu
 
Kuna haja ya kuanza na Mungu hakika mwanzo nilifeli kwakua sikuanza na Mungu Asante kwa ushari mzuri RafikiπŸ™
 
Kwani wanawake wameisha kijana? Afterall ukipata nafasi ya kuwa single usiichezee,bahati haiji mara mbili.
 
Tatizo sio kuisha kwa wanawake ndugu Tatizo Ni kupenda binadamu tunatofautiana nduguangu Kuna Sina ya binadamu ambao akishapenda amependa hatamani kubadilisha badilisha mtu na kikubwa zaidi tamaa yangu ilikua kuzaa watoto wangu wote na mwanamke mmoja Tu isiwe kila mtoto na mama yake hiyo kitu sipendezwi nacho kabisa binafsi afu pia niliingia mazima kwa yule mwanamke nilimpenda mno nikiamini ndio huyo tu pekee atakuwa wakwangu mazima,kilichoniuma zaidi Ni december tu 2022 Katika sikukuu ya kuzaliwa mwanangu huyo Mzazi mwenzangu alinitumia message akisema, nimemiss Sana penzi lako, Mimi na mwanao tunakupenda Sana na akanambia anatamani ndoa anataka nifunge nae ndoa, baada ya hayo maneno haraka nilinunua pete ili nimfanyie surprise,kumbe nayeye alikua na surprise yake ya kuniumiza maskin wa Mungu et baada ya mwaka tu kuisha akaanzisha mahusiano mapya ....Ni kitu kilichoniumiza mno na baada ya kumpigia na kuzungumza nae alionyesha kunificha kuwa Hana mahusiano bila kujua Mimi nimefatilia tik Tok anavyopostiwa na wanavopigana ma emoj ya mabusu baada ya Mimi kumtajia na majina ya mwanaume huyo ndio akaanza kuniweka wazi nilimuomba msamaa Kama nilimkwaza turudiane tufunge ndoa na tulee mtoto et Kuna wakati ananambia atakuja tuzungumze Mara wakati mwingine Tena aniambie et nikisema Mimi na wewe turudiane ntakuwa nakudanganya tu..hayo majibu yalinikatisha tamaa sana kwa hasira hata Ile Pete japo sikuwahi kumwambia kwamba nilinunua Ila ilibidi niitupe mbali Sana kwa hasira kwakwel Katika tukio limeniumiza katka maisha tangu nizaliwe Ni hili tukio kwakwel Ila mapenzi hayalazimishwi acha nimwachie Mungu tu. Nimeshukuru kwa yote.
Kwani wanawake wameisha kijana? Afterall ukipata nafasi ya kuwa single usiichezee,bahati haiji mara mbili.
 
Ni kweli umemharibia
Na ulipata wazazi wasiojali maisha ya watt wa wengine

Wazazi wengine wasingekubali uoe mwanamke mwingine!

Trust me maisha yako Kwa ss unaweza kuona mazuri ila ni suala la muda,utakuja kuona unavyoporomoka kwenye Kila eneo
!
Wanawake tuko so emotional,na tunapokua hivyo hujui nn kinatamkwa na huyo dada
 
Usiwaze mwanetu.
Huo msala niuzie mie, nakuvua kibingwa kabisa.
Mie muislam, nina ruhusa ya kuoa wake wa 4.
Kama atakubali kiwa muislam, fresh namuoa mke wa pili nakutoa kwenye huo msala wa majuto.
 
Unajuta nini sasa hapo muhimu wewe ndio umtafutie mume wa kumuoa
Upewe mke na mshikajiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tena waliyezaa nayeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wazazi huwa hawaachani
 
Endelea na maisha yako na familia yako Acha kujutia maisha ya mwingne wewe sio sababu ya kufel kwake , pambania ya kwako na ndoto zako , hauwezi kubadilisha chochote apo.
 
Reactions: ywf
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…