WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

Miaka 32 Nani amuoe??. Wanaolewa wa miaka 50 iwe huyu wa 32 msichana kabisa.
Kuanzia miaka 26-33 hapo vijana wengi ndo huoa tena hapo ndo unakuta mabinti wanao olewa range ya miaka yao huanzia 20-28 mwanamke akisha vuka miaka 30 maana ile Ndoto ya kuolewa anze maisha n mme wake inakua imekatika coz kwa hiyo miaka atakubali kuolewa na mwanaume ambaye tiari ana familia au kafuwa na mke wake au kuongezwa mke wa pili tofout na hapo labda huyo mwanaume alichelewa kuoa issues malumu na hata akichelewa atatafuta wenye umri mdogo.

Nevertheless, Kila mtu ana Neema katka maisha yake Mungu amsaidie apate mtu sahihi ila kuolewa na kijana n ngumu sanaa
 
Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada.

Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto ninaishi nae mimi. Kitu hiki ndo kinanifanya kuwa na majuto kitendo nilichomfanyia mama yake. Daa kinaniumiza sana sometime nawaza bora ningemuoa mama yake.

Kipindi nipo chuo mwaka wa 3 naingia. Mwaka wa kwanza ndo walikuwa wanafika chuoni. Sasa si unajua mambo ya chuo mabinti wapya kutoka form 6 ndo wanakuja. Vijana mambo ya chuo naamini mnaelewa. Sasa nikamuona binti mmoja, nikaanza kumvizia sana, nakumbuka kipindi kile na rafiki zangu tulikuwa tunagawana mabinti, mimi huyu wewe yule.

Nilizoeana nae na kuanza kumfuata ili kuanzisha mahusiano nae. Nilijitahidi kuvizia na kupeana mbinu wa friends. Wenzangu walifanikiwa baadhi hadi kuwa nao first year. Ila mimi bado ananiangaisha.

Yeye alisema issue ya mahusiano hapana labda kuwa friends kawaida tuu. Mimi nikaona poa ila bado namvizia yule dada. Japo alikuwa mgumu sana.

Siku moja chuoni night watu walikuwa wanafanya discussion. Sasa nilikuwa na yule binti night siku ile tulipiga story kadhaa. Nilipanga kusex nae anytime nitakapo pata chance.

Siku ile nilipanga leo ni leo nitafanikiwa. Nakumbuka niseme kwa kifupi tuu nilimlaghai sana kwa kumshika shika akawa anasema tuu acha. Baadae akatoka akaamua kuondoka kurudi hostel, mimi nilikuwa sikai mbali na chuoni ghetto langu ni maeneo hayo ya chuoni tuu.

Nilimshikashika mpk akasema usinishawishi kuzini mimi siitaji.

Niliendelea tu.

MWISHOWE alilainika na akajikuta anakubali , nilienda nae ghetto tukasex na alilala mpk morning.

Asubui anashituka daa nikamkuta analia sana na kunilaumu, aliondoka na kwenda hostel .

Hatukuwa karibu kama 2 weeks hivi. Baada ya wiki 3 na siku kadhaa akaniambia siku zake haziona. Mimi eeeeeee. Nilishituka sana. Kumbe siku ile alikuwa siku zake za hatari . Nikili tuu nilitake risk sikutumia condom.

Niliisi kama kuchanganyikiwa hivi nikaona au ananimbambikizia nini. Niliwaeleza wadau wakasema Katoe , mimi daaa kitu hicho sijawahi hata kufanya , nikimuangalia binti yeye namuona she is not okay muda wote mpk wenzie wanamuliza shida nini.

Nikaa kimya tuu siku zinaenda naona tumbo hilo. Baada ya miezi kama 3 hivi ujauzito ukaanza kumsumbua sana. Mpk akaanza kunilaumu mimi. Akalazimika kwenda kwao. Kwao walimzingua sana tena sana.

Alikuwa ananipigia simu huku akinilaumu kwa siku ile.

Akalazimika kusitisha chuo. Baada ya kujifungua mimi nilikuwa nishamaliza chuo.
Mbaya zaidi akajifungua kwa operation mda wa kukaa home ndo ukazidi.

Akarudi chuo wenzie wako mwaka wa 3 yeye anaendelea na semester ya 2 mwaka wa kwanza. Mshono wa operation ulimsumbu sana.

Mimi nilisena tuu home wakanitupia maneno sana kwani wazazi wangu ni watu wa dini sana. Tukio lile lilinifanya niache kuzini kabisa.

Ila baadae nilikutana na binti mwingine. Na kumuoa .
Japo mama alinisisitiza sana muoe mama mtoto wako. Kwa sababu pale umemuaribu mtoto wa watu. Mimi wala sikujali.

Ila mzazi mwezangu yule. Tangu kamaliza chuo akipata mwanaume, akijua anamtoto jamaa anamuacha. Kila anayepata anamuacha. Baadae nikaona ngoja nimchukue mtoto nikae nae. Ili na yeye apate mtu amuoe . Ila wapi.

Mwaka juzi alipata mmoja alikubali ila alivyokuja kugundua alijifungua kwa operation akamuacha. Mara nyingine anakuwa ananilalamikia sana nimemualibia system mzima ya life yake.

Kwa sasa anaumri wa miaka 32. Rafiki zake wote tayari wameolewa ila yeye bado , mara nyingi anakuwa ni mtu wa huzuni sana , she is not happy always.

Hiki kitu mara nyingi kinaniumiza sana , maana naona kama nimemuaribia maisha binti wa watu.

Na mimi hapa home nina mtoto wa kike nafikilia na yeye akikutwa na tukio kama lile itakuwaje huwa nafikilia sana na kumuangali binti yangu huyu hapa home.

Daaa we acha .

KAMA NIMEKOSEMA UANDISHI NAOMBA RADHI.🤲🙏🙏🙏
Pole Sana ndugu yangu stori yako ilitaka kufanana na yakwangu japo yangu Ina utofauti kidoogo Mimi niliishi na mwanamke mmoja iv mjita nilibahatika kupata nae mtoto mmoja wakiume tulimlea Hadi miaka mitatu pamoja, picha likaanzia hapo mwanamke akaniambia amepata kazi ambayo kazi hiyo atalipwa laki 3 Hadi 3 na 60 yeye Ni mwalimu wa English Medium, babaake Ni mwalimu,mamaake Ni mwalimu pia,akanambia amepata kazi na mkuu wa hiyo shule Ni babaake Mzazi na nikweli ilikuwa hivyo .. nilimruhusu akaenda tuliwasiliana Ila kwa bahati mbaya Mimi maisha yalikuwa magumu kidogo upande wangu..ilifika wakati nilishindwa hata kutuma chochote kwa familia ikafika wakati nilikuwa nawasiliana na mama mkwe wangu kwakua nilishajitambulisha kwa wazazi tunafahamika, kipindi hicho nikiwa na maisha magumu mama mkwe Kuna wakati alikua alinipigia simu naogopa mpaka kupokea kuhofia ataniuliza mbona situmi chochote?? Ikafika wakati mama mkwe akampigia mama yangu Mzazi simu na kumlalamikia Mimi kutokupokea simu zake na neno la mwisho alimwambia mwambie mwanao atafute mwanamke mwingine aoe ...Baadae nilimtafuta mama mkwe nikazungumza nae na kumuelewesha Hali halisi lakini alionyesha kutonielewa sababu zangu za Hali ngumu, baadae Mzazi mwenzangu alinitafuta na kuniambia anahitaji ndoa, yeye na mwanangu wananipenda Sana Ila baada ya muda mfupi Sana nikamwambia bas Rudi tuishi wote Kuna namna nimejiongeza nimejiajiri Kuna kipato nakipata kwa Sasa, Ila chaajabu kwa muda huo mfupi mwanamke aliaanza kubadilika akawa na kiburi chaajabu majibu ya shortcut,nikala block Facebook,na whatssup Mara whatssup akaniunblock, nk.nilianza utafuti wangu taratibu tik Tok nikagundua Kuna jamaa mmoja anawatoto watatu ana gari Ni game ranger huyo jamaa na amejenga nyumba mpya ndo anahamia kumbe huyo jamaa amemshawishi Mzazi mwenzangu kwamba anamuoa amepiga picha anampost mzazi mwenzangu wakiwa wameshikana pamoja.wanapigana mabusu ya emoj nilipoonyesha kulitambua Hilo na kumbemveleza mzaz mwenzangu she tufunge ndoa alinijibu kwamba tumlee tu mtoto Mimi na yeye haikupangwa kuwa pamoja sababu nilimtelekezea mtoto kipindi chote kwaiyo ameamua kuishi na mwanaume mwingine na mwanaume huyo amemuelewa na anafahamu kwamba Mzazi mwenzangu anamtoto so amekubali kumuoa hivyo hivyo... So Wana jf naombeni pia mnishauri namimi kupitia stori yangu Hii ninini nifanye maana ninembembeleza Sana anirudie Ila unaonyesha ameingiwa na tamaa za Mali za yule jamaa game ranger??!🙏
 
Hujakosea uandishi, umekosea ulichomfanyia mwenzio siyo kizuri, kwanini haukutumia kinga? Jitu la chuo kikuu unarisk maisha yako ya kiafya kipumbavu namna hiyo ungepata homa ya ini au HIV ungesemaje? Sasa kama upo chuo kikuu halafu unakuwa na maisha ya hatari hivyo, vipi ndugu zako walioishia darasa la saba walio kijijini wanaishije ?

Cha pili kwanini haukumuoa uliyezaa nae?
 
Pole Sana ndugu yangu stori yako ilitaka kufanana na yakwangu japo yangu Ina utofauti kidoogo Mimi niliishi na mwanamke mmoja iv mjita nilibahatika kupata nae mtoto mmoja wakiume tulimlea Hadi miaka mitatu pamoja, picha likaanzia hapo mwanamke akaniambia amepata kazi ambayo kazi hiyo atalipwa laki 3 Hadi 3 na 60 yeye Ni mwalimu wa English Medium, babaake Ni mwalimu,mamaake Ni mwalimu pia,akanambia amepata kazi na mkuu wa hiyo shule Ni babaake Mzazi na nikweli ilikuwa hivyo .. nilimruhusu akaenda tuliwasiliana Ila kwa bahati mbaya Mimi maisha yalikuwa magumu kidogo upande wangu..ilifika wakati nilishindwa hata kutuma chochote kwa familia ikafika wakati nilikuwa nawasiliana na mama mkwe wangu kwakua nilishajitambulisha kwa wazazi tunafahamika, kipindi hicho nikiwa na maisha magumu mama mkwe Kuna wakati alikua alinipigia simu naogopa mpaka kupokea kuhofia ataniuliza mbona situmi chochote?? Ikafika wakati mama mkwe akampigia mama yangu Mzazi simu na kumlalamikia Mimi kutokupokea simu zake na neno la mwisho alimwambia mwambie mwanao atafute mwanamke mwingine aoe ...Baadae nilimtafuta mama mkwe nikazungumza nae na kumuelewesha Hali halisi lakini alionyesha kutonielewa sababu zangu za Hali ngumu, baadae Mzazi mwenzangu alinitafuta na kuniambia anahitaji ndoa, yeye na mwanangu wananipenda Sana Ila baada ya muda mfupi Sana nikamwambia bas Rudi tuishi wote Kuna namna nimejiongeza nimejiajiri Kuna kipato nakipata kwa Sasa, Ila chaajabu kwa muda huo mfupi mwanamke aliaanza kubadilika akawa na kiburi chaajabu majibu ya shortcut,nikala block Facebook,na whatssup Mara whatssup akaniunblock, nk.nilianza utafuti wangu taratibu tik Tok nikagundua Kuna jamaa mmoja anawatoto watatu ana gari Ni game ranger huyo jamaa na amejenga nyumba mpya ndo anahamia kumbe huyo jamaa amemshawishi Mzazi mwenzangu kwamba anamuoa amepiga picha anampost mzazi mwenzangu wakiwa wameshikana pamoja.wanapigana mabusu ya emoj nilipoonyesha kulitambua Hilo na kumbemveleza mzaz mwenzangu she tufunge ndoa alinijibu kwamba tumlee tu mtoto Mimi na yeye haikupangwa kuwa pamoja sababu nilimtelekezea mtoto kipindi chote kwaiyo ameamua kuishi na mwanaume mwingine na mwanaume huyo amemuelewa na anafahamu kwamba Mzazi mwenzangu anamtoto so amekubali kumuoa hivyo hivyo... So Wana jf naombeni pia mnishauri namimi kupitia stori yangu Hii ninini nifanye maana ninembembeleza Sana anirudie Ila unaonyesha ameingiwa na tamaa za Mali za yule jamaa game ranger??!🙏
Haikuwa riziki we tafuta tu mwanamke mwingine uoe.....ila this time hakikisha una hela nyingi kabla ya kuoa
 
Mimi nimechoma zaidi ya milion 300 kwa muda wa miaka 15,Mzee alikua kila siku ananiambia achana na biashara achana na maproject hayo ni rahisi kwa makaratasi na Sio hali halisi.

We Jenga apartment za kupangisha zitakusaidia mbeleni kipindi Hicho pesa zinatiririka tu,basi naelewa ni dream ya kufanya makubwa anzisha project hii nachezea za uso hasara hii mwanzo vizur mwisho hasara.

Ni Bora uchome pesa kwenye starehe utoumia kuliko kwenye project then ikazama utaumia maisha yako yote kila ukipigika unazikumbuka pesa zako.
Kwa starehe hata ukipigika utajipooza na kujifariji "enzi zangu bwana" hii in relief pain ya kupoteza pesa kwa project utaishia kuwa na experience tu,itakusaidia kwa second chance ya kupata Kama ikitokea.
Pole sana
 
Na usikute daktari aliyemfanyia C-section hakuwa na experience kaacha bonge la mkovu huo kuanzia kona moja ya tumbo mpaka nyingine. Mwanaume akiuona tu anajisemea hapa nimepotea njia anasepa zake...

Binti atakuwa kwenye maumivu makali ajabu....

Halafu wanaume tunakaa hapa tunawasimanga singo mazazi kila leo kumbe mara nyingi tuliozingua ni sisi. Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Atapata tu wa kuwa naye ambaye atampenda kwa dhati. Tatizo anakosa kuwa muwazi anapoanzisha mahusiano. Mimi huwa sifichi, nasema kabisa niliolewa na tukaachana. Ukweli humuweka mtu wazi.
 
Hili swala la mimba za ujanani hata mm linanitesa mno

Namm nimefanya tukio Kama lako tu umeniaribia mfumo wangu wote wa maisha
 
Na usikute daktari aliyemfanyia C-section hakuwa na experience kaacha bonge la mkovu huo kuanzia kona moja ya tumbo mpaka nyingine. Mwanaume akiuona tu anajisemea hapa nimepotea njia anasepa zake...

Binti atakuwa kwenye maumivu makali ajabu....

Halafu wanaume tunakaa hapa tunawasimanga singo mazazi kila leo kumbe mara nyingi tuliozingua ni sisi. Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sahih kbsaa mkuu
 
Pole Sana ndugu yangu stori yako ilitaka kufanana na yakwangu japo yangu Ina utofauti kidoogo Mimi niliishi na mwanamke mmoja iv mjita nilibahatika kupata nae mtoto mmoja wakiume tulimlea Hadi miaka mitatu pamoja, picha likaanzia hapo mwanamke akaniambia amepata kazi ambayo kazi hiyo atalipwa laki 3 Hadi 3 na 60 yeye Ni mwalimu wa English Medium, babaake Ni mwalimu,mamaake Ni mwalimu pia,akanambia amepata kazi na mkuu wa hiyo shule Ni babaake Mzazi na nikweli ilikuwa hivyo .. nilimruhusu akaenda tuliwasiliana Ila kwa bahati mbaya Mimi maisha yalikuwa magumu kidogo upande wangu..ilifika wakati nilishindwa hata kutuma chochote kwa familia ikafika wakati nilikuwa nawasiliana na mama mkwe wangu kwakua nilishajitambulisha kwa wazazi tunafahamika, kipindi hicho nikiwa na maisha magumu mama mkwe Kuna wakati alikua alinipigia simu naogopa mpaka kupokea kuhofia ataniuliza mbona situmi chochote?? Ikafika wakati mama mkwe akampigia mama yangu Mzazi simu na kumlalamikia Mimi kutokupokea simu zake na neno la mwisho alimwambia mwambie mwanao atafute mwanamke mwingine aoe ...Baadae nilimtafuta mama mkwe nikazungumza nae na kumuelewesha Hali halisi lakini alionyesha kutonielewa sababu zangu za Hali ngumu, baadae Mzazi mwenzangu alinitafuta na kuniambia anahitaji ndoa, yeye na mwanangu wananipenda Sana Ila baada ya muda mfupi Sana nikamwambia bas Rudi tuishi wote Kuna namna nimejiongeza nimejiajiri Kuna kipato nakipata kwa Sasa, Ila chaajabu kwa muda huo mfupi mwanamke aliaanza kubadilika akawa na kiburi chaajabu majibu ya shortcut,nikala block Facebook,na whatssup Mara whatssup akaniunblock, nk.nilianza utafuti wangu taratibu tik Tok nikagundua Kuna jamaa mmoja anawatoto watatu ana gari Ni game ranger huyo jamaa na amejenga nyumba mpya ndo anahamia kumbe huyo jamaa amemshawishi Mzazi mwenzangu kwamba anamuoa amepiga picha anampost mzazi mwenzangu wakiwa wameshikana pamoja.wanapigana mabusu ya emoj nilipoonyesha kulitambua Hilo na kumbemveleza mzaz mwenzangu she tufunge ndoa alinijibu kwamba tumlee tu mtoto Mimi na yeye haikupangwa kuwa pamoja sababu nilimtelekezea mtoto kipindi chote kwaiyo ameamua kuishi na mwanaume mwingine na mwanaume huyo amemuelewa na anafahamu kwamba Mzazi mwenzangu anamtoto so amekubali kumuoa hivyo hivyo... So Wana jf naombeni pia mnishauri namimi kupitia stori yangu Hii ninini nifanye maana ninembembeleza Sana anirudie Ila unaonyesha ameingiwa na tamaa za Mali za yule jamaa game ranger??!🙏
Pole sana,ukiwa nje ya mahusiano ni vigumu sana kujua tabia za wanawake,ila unapoanza tu kuingia kwenye mahusiano ndio utajua,ndio maana wale wasio na mahusiano rasmi huwa wakianza tu baada ya muda unakuta kaamua kuachia ngazi,utasema ngoja nijaribu mwingine utakuta naye ni wale wale,mwisho wa siku unaweza hata usioe.Kikubwa sana tunachokosea ni kutokumshirikisha Mungu tunapotafuta wenza wetu, na kwa jinsi hiyo wengi tumeangukia kuwa na watu wasio sahihi na kujikuta tunalialia kila wakati.Tamaa ya macho ndio huwa inatuponza na mwisho wa siku ni maumivu.Usifikiri wife materials hawapo lakini unakuta hana ule mvuto wa nje ambao wanaume wengi tunapenda wawe nao,unaanza kujiuliza watu watanionaje nikiwa na huyu.Ndoa nyingi unazoziona rafiki ni tiamaji tiamaji,wanaishi kwa kuvumiliana tu kwa kuwa tayari kuna watoto.Kwahiyo isikilize nafsi yako,unaweza kukuta Mungu anakuepusha na jambo baya vilevile....
 
Wanawake bhn,tukiwaambia hamuwezi kukaza mnakataa nini sasa??? Sa mtoto kakaza weeeeeh mwisho mwenyewe kaachia..FEAR MEN
 
Kipimo ulichompimia mwenzeko ndo hicho hicho utakachopimiwa.
Wazazi wako walikua sahihi kabisa kukwambia umuoe ona Sasa umemuaribia bint wa watu life kwa Dunia ya Leo Miaka 32 nani amuoe.

Ushauri wangu kwako kama upo vizuri Muombe msamaha then Muombe Mungu wako msamaha ufunge kabisa hizo Roho za malipiz kwa wanao wasije fanywa kama wewe ulivyo fanya, na jinsi unavyo fikiria ndugu ndo hivyo hivyo mambo hutokea wakati mwingine sis Binadamu huwa tunawaza mambo yatakayo tokea mbelen na tunajua Alfu tunapuuzia, so nakushauri Mawazo unayo yawaza usiyapuuzie Muombe sana Mungu wako akusamehe hiyo dhambi na isiipate familia yako pia huyo Binti Muombe msamaha,

Kingine mshauri awe mkweli,, mm nafikiri kumficha mtoto siyo chanzo Cha kupta Mme wa Kumuoa yeye apambane akipata mwanaume asimdanganye Kuwa Hana mtot Bali amwambie ukweli maisha mengine yaendelee

Kila la kher
Ushauri mzuri,mleta mada zingatia huu ushauri
 
Mzee hiyo kitu itakutafuna uzao wako wote ..ni kheri kama yeye angekupiga chini ..lakini wewe ulimlaghai ,ukamtia mimba...Kisha ukampiga chini ...dah....yani kiufupi karma is bitch hakuna Cha kusali Wala nini...Mungu hafugi ujinga na uzembe wako...maana alikuonyesha Toka awali...na ulijua....Kisha akakula warning ukaoa mwanamke mwingine....Sasa Kila chozia huyo Binti kwako ni adhabu ..na kwa familia yako pia....so kaka...jipange tu kiakili kuyapokea...na jua lisipokupata wewe ..binafsi...basi wanao..aua wajukuu zako watalipa hill deni.....sijui washikaji Huwa tunafeli wapi ....unampaje mtoto wa watu mimba ....ikiwa huna mpangi naye...!? Anyway ni kheri mngeitoa tu kipindi kile...ijulikane ni dhambi kuliko dhambi hii uliyoitenda kwa kukuharibia huyo Binti maisha ...
Kwani alimbaka buana??si alienda mwenyewe aliwe
 
MIMI NAJUTA NILIPOPATA MILIONI 472 CASH KWENYE MABEGI BAADA YA MABOSI ZANGU WA KICHINA KUVAMIWA NA MAJAMBAZI TULIPOKUA LODGE MKOA FLANI HV WENYE KUCHIMBA MADINI..SASA KATIKA HARAKATI ZA KUJIOKOA WACHINA WAKATUPA BAADHI YA MZIGO YAO NYUMA YA LODGE KUPITIA DIRISHANI ILI KUJIOKOA WASIPORWE......
MM NIPO NYUMA YA LODGE VYOO VYA NJE KARIBU NA BAR YA NJE PALE LODGE NAKUTA MABEGI MAWILI YA BOSI WANGU YAPO AFU WATU WOTE WAMEKIMBIA KUOKOA MAISHA YAO.......
NIKAICHUKUA NA KUYAIFADHI NA KUYARUDISHA KWA BOSI BILA HATA KUYAFUNGUA..NDIPO BAADAE BOSI AKASEMA KUA ALIYARUSHA KULE NYUMA SABABU KULIKUA NA HELA.......
NIKAAMBULIA MILIONI 7 KAMA ASANTE,,,,,
 
Naomba Mungu tu azidi kunisimamia.
Honestly mpaka hapa kwa umri huu wa utu uzima, sina majuto serious ya kuniumiza moyo wangu. Sina kwakwel. Inawezekana ndio sababu sijatajirika bado maana kila hatua yangu iko too much calculated. Huwa naishi kwa concept ya kuogopa sana sana kumsababishia mtu mwingine maumivu. Naogopa sana kuwaumiza watu kwakwel.
 
Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada.

Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto ninaishi nae mimi. Kitu hiki ndo kinanifanya kuwa na majuto kitendo nilichomfanyia mama yake. Daa kinaniumiza sana sometime nawaza bora ningemuoa mama yake.

Kipindi nipo chuo mwaka wa 3 naingia. Mwaka wa kwanza ndo walikuwa wanafika chuoni. Sasa si unajua mambo ya chuo mabinti wapya kutoka form 6 ndo wanakuja. Vijana mambo ya chuo naamini mnaelewa. Sasa nikamuona binti mmoja, nikaanza kumvizia sana, nakumbuka kipindi kile na rafiki zangu tulikuwa tunagawana mabinti, mimi huyu wewe yule.

Nilizoeana nae na kuanza kumfuata ili kuanzisha mahusiano nae. Nilijitahidi kuvizia na kupeana mbinu wa friends. Wenzangu walifanikiwa baadhi hadi kuwa nao first year. Ila mimi bado ananiangaisha.

Yeye alisema issue ya mahusiano hapana labda kuwa friends kawaida tuu. Mimi nikaona poa ila bado namvizia yule dada. Japo alikuwa mgumu sana.

Siku moja chuoni night watu walikuwa wanafanya discussion. Sasa nilikuwa na yule binti night siku ile tulipiga story kadhaa. Nilipanga kusex nae anytime nitakapo pata chance.

Siku ile nilipanga leo ni leo nitafanikiwa. Nakumbuka niseme kwa kifupi tuu nilimlaghai sana kwa kumshika shika akawa anasema tuu acha. Baadae akatoka akaamua kuondoka kurudi hostel, mimi nilikuwa sikai mbali na chuoni ghetto langu ni maeneo hayo ya chuoni tuu.

Nilimshikashika mpk akasema usinishawishi kuzini mimi siitaji.

Niliendelea tu.

MWISHOWE alilainika na akajikuta anakubali , nilienda nae ghetto tukasex na alilala mpk morning.

Asubui anashituka daa nikamkuta analia sana na kunilaumu, aliondoka na kwenda hostel .

Hatukuwa karibu kama 2 weeks hivi. Baada ya wiki 3 na siku kadhaa akaniambia siku zake haziona. Mimi eeeeeee. Nilishituka sana. Kumbe siku ile alikuwa siku zake za hatari . Nikili tuu nilitake risk sikutumia condom.

Niliisi kama kuchanganyikiwa hivi nikaona au ananimbambikizia nini. Niliwaeleza wadau wakasema Katoe , mimi daaa kitu hicho sijawahi hata kufanya , nikimuangalia binti yeye namuona she is not okay muda wote mpk wenzie wanamuliza shida nini.

Nikaa kimya tuu siku zinaenda naona tumbo hilo. Baada ya miezi kama 3 hivi ujauzito ukaanza kumsumbua sana. Mpk akaanza kunilaumu mimi. Akalazimika kwenda kwao. Kwao walimzingua sana tena sana.

Alikuwa ananipigia simu huku akinilaumu kwa siku ile.

Akalazimika kusitisha chuo. Baada ya kujifungua mimi nilikuwa nishamaliza chuo.
Mbaya zaidi akajifungua kwa operation mda wa kukaa home ndo ukazidi.

Akarudi chuo wenzie wako mwaka wa 3 yeye anaendelea na semester ya 2 mwaka wa kwanza. Mshono wa operation ulimsumbu sana.

Mimi nilisena tuu home wakanitupia maneno sana kwani wazazi wangu ni watu wa dini sana. Tukio lile lilinifanya niache kuzini kabisa.

Ila baadae nilikutana na binti mwingine. Na kumuoa .
Japo mama alinisisitiza sana muoe mama mtoto wako. Kwa sababu pale umemuaribu mtoto wa watu. Mimi wala sikujali.

Ila mzazi mwezangu yule. Tangu kamaliza chuo akipata mwanaume, akijua anamtoto jamaa anamuacha. Kila anayepata anamuacha. Baadae nikaona ngoja nimchukue mtoto nikae nae. Ili na yeye apate mtu amuoe . Ila wapi.

Mwaka juzi alipata mmoja alikubali ila alivyokuja kugundua alijifungua kwa operation akamuacha. Mara nyingine anakuwa ananilalamikia sana nimemualibia system mzima ya life yake.

Kwa sasa anaumri wa miaka 32. Rafiki zake wote tayari wameolewa ila yeye bado , mara nyingi anakuwa ni mtu wa huzuni sana , she is not happy always.

Hiki kitu mara nyingi kinaniumiza sana , maana naona kama nimemuaribia maisha binti wa watu.

Na mimi hapa home nina mtoto wa kike nafikilia na yeye akikutwa na tukio kama lile itakuwaje huwa nafikilia sana na kumuangali binti yangu huyu hapa home.

Daaa we acha .

KAMA NIMEKOSEMA UANDISHI NAOMBA RADHI.🤲🙏🙏🙏
Muoe awe mke wa pili,maana mateso anayoyapitia wakati wewe ndio chanzo daima hayata kuacha salama. Lkn pia kuteseka kwa huyo mzazi mwenzio kutamfanya apoteze ramani kabisa ambapo mtoto wenu ndiye atakaye kuja pengine kuyatatua na iwe unajua ama bila kujua lazima utashiriki kuyatatua.
 
Back
Top Bottom