WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

Angalia maisha yako kwa sasa time heal brother huyo si wako

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Inakulazimu umtengenezee maisha huyo dada,vinginevyo jiandae kulipa gharama ya ulichokifanya.
Nauona mwisho wa maisha yako kuwa mbaya,endapo hutamsaidia huyo mzazi mwenzako kimaisha.
Hata utubu vipi,gharama ni lazima ilipwe.
Kama alivyolipa Yesu pale msalabani.
Mungu akusaidie.
 
Kama uchumi unaruhusu fanya hima muinue kiuchumi nae yeye.
Huu ni uanaume kama kweli anaweza amsapoti. Jamaa anajuta mana nayee ana binti, wengi wakipata watoto akili za maisha zinakaa sawa. Binti yako yamkute hayaaa, walaaahi
 
Akimsaidia bado atapata lana?
 
So sad

Baba wote mabinti zetu wanatuuma sana,this made me seek to my stomach.

Mimba angeitoa,kubeba watoto msiemtaka kama hivyo ni biggest problem and regret throughout your lives!
 
Maandiko yanasema "... nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi tatu na nne..."

Ulitenda jambo baya sana na kitu cha kukupa kumbukukumbu ni hiki, unapomfanyia mwenzako ufedhuri huwa hauondoki kirahisi kama utakavyotaka bali unageuka kwa njia nyingine na kurudi kukupiga.

Marafiki waovu walikufanya kuharibu maisha ya mwingine vivyo hivyo mmoja kutoka kwa damu yako lazima alipie garama.

Take this note!.
 
Watumie wakubwa wamshawishi binti asamehe na aachilie, hii si kwaajili yako tuโ€ฆ. Hata kwaajili yake pia.

Ni kweli uliharibu sana. Kwasababu ulimshawishi sana ilipaswa umuoe.

Hakuwa na nia mbaya na wewe, ulikuwa na nia mbaya na yeye.
 
Hongera sana mkuu,ishi hivyo hivyo
 
Salute kwako mkuu[emoji123]this is jf
 
Ndugu zangu,hakuna maisha mabaya kama watu kutengana wakishakuwa wamezaa,ni maumivu makubwa sana.Na effect kubwa ni kwa watoto kwani ridge watakuwa wanalelewa na baba halisi na mama wa kambo au mama halisi na baba wa kambo.
Mungu tusaidie,mioyo yetu Ina teketea kwa maumivu makali
 
Duh,pole sana mkuu,unachopitia ni kama mimi tu,inaumiza sana kuishi na mtu na kuweka malengo ya pamoja halafu badae anageuka,moyo unauma sana
 
Yess
 
Mkuu muoe wewe ongea na mwenzako na kama mna upendo mnakaa wote nyumba Moja ๐Ÿ˜Š

Yaani wakeo wawili na watoto wako wa 3
 
Aah bwana kitu sasa. Watu mamilioni kwa mabilioni tangu dunia kuumbwa wamepata mimba kabla ya ndoa na kuolewa na maisha mengine yakaendelea na hakuna aliewahi kujuta, ww 1/100000000000 ndo ujute. Wtfk
 
Duh,pole sana mkuu,unachopitia ni kama mimi tu,inaumiza sana kuishi na mtu na kuweka malengo ya pamoja halafu badae anageuka,moyo unauma sana
Asante Sana Ndugu yangu inaumiza mno kinachouma zaidi niliandaa Pete ya gharama nimfanyie surprise kumbe nayeye aliandaa Surprise yake ya kuniumiza๐Ÿ˜”Amenivunja moyo mno na Ameshakubali kuvishwa na Pete asee.mmh haya mapenzi usiingie kichwa kichwa Jamani Kuna kufa.
 
Acha tu ndugu yangu haielezeki
 
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ Kila kitu Huwa inatokea kwenye akili ya mtu na moyo wake jinsi alivyojiaminisha...........ukwel n kwamba huyo Binti umemuaribia maisha maana uliforce kusex naye na hakuwa na interested na wewe hapo ina maaana hukuwa na kibali ndani ya MOYO WAKE na ndo maana kitendo kile ilibakia kama MKOSI KWAKE.............hata kwako Kuna namna tu utakutana na MKOSI huo huo kama sio wewe basi UZAO WAKO..................Kuna namna ya kufanya ili ujiepushe na hayo yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ