WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

There is no way anaweza akafuta hii..mwenye uwezo wa kuzuia hii situation isiback fire sio sadaka,ni mtu mmoja tu naye ni huyo binti.

Akae vizuri na huyo binti
ndio ampe huyo sadaka zake hivyo ndio nimemaanisha
 
Ila mzazi mwezangu yule. Tangu kamaliza chuo akipata mwanaume, akijua anamtoto jamaa anamuacha. Kila anayepata anamuacha. Baadae nikaona ngoja nimchukue mtoto nikae nae. Ili na yeye apate mtu amuoe . Ila wapi.

Mwaka juzi alipata mmoja alikubali ila alivyokuja kugundua alijifungua kwa operation akamuacha. Mara nyingine anakuwa ananilalamikia sana nimemualibia system mzima ya life yake
Inasikitisha sana
 
Na badooo!

Laana hiyo na iendelee kukutafuna wewe na kizazi chako chote. Yaani mabinti wote wa ukoo wote wa Mr. Dude wazalie majumbani na wasiolewe kamwe!

Kila mtu na aseme AAMEN!

JamiiForums1603692742.jpg
 
Mkuu pole, ila comments za wadau zisikutishe sana.

Ni kweli karma ipo ila sio lazima ikurudi kwa staili ile ile ya kosa ulilolifanya. Kama ni kukurudi inaweza kukurudi kwa namna nyingine kabisa kiasi kwamba usiweze kujua kama umesha lipia kosa lako.

Kwahiyo wewe itulize nafsi yako na binti zako wataendelea kuwa salama. Cha msingi kama unaweza basi angalia namna ya kumsaidia huyo mama wa mtoto wako.
 
Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada.

Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni...

Mbaya sana
 
Laiti ungeusikiliza ushauri wa mama yako haya yote yasingekutokea

Siamini katika Karma. Sijui kizazi chako kitalaanika maneno tu ya Waswahili hata Muumba mwenyewe hana huo utaratibu

Kama umejuta na kutubu kikweli Mungu amesikia toba yako

Ndio imeshatokea hakuna namna. Mungu anasamehe dhambi lakini lazima mtu avune matokeo ya dhambi yake.

Hiyo kujihisi hatia na kujilaumu ndio matokeo ya dhambi yako. Lakini hamna suala la malipo sijui duniani uwe na amani

Usisahau kumpa support mzazi mwenza ila kwa tahadhari usije ukapasha kiporo
 
Huyo maskini atakua anasimangwa ujana wake alikua anawabania miamba kazalishwa kazeeka ndo anajirahisi. Binadamu na maneno yao makali
Na usikute daktari aliyemfanyia C-section hakuwa na experience kaacha bonge la mkovu huo kuanzia kona moja ya tumbo mpaka nyingine. Mwanaume akiuona tu anajisemea hapa nimepotea njia anasepa zake...

Binti atakuwa kwenye maumivu makali ajabu....

Halafu wanaume tunakaa hapa tunawasimanga singo mazazi kila leo kumbe mara nyingi tuliozingua ni sisi. Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Vijana wengine...be you...usikubali uendeshwe na mawazo ya watu wengine...

Huyu ndo kilimkuta...alishindwa kuishi maisha yake...peer pressure ikamsulubisha

Anyway pole sana
 
Na badooo!

Laana hiyo na iendelee kukutafuna wewe na kizazi chako chote. Yaani mabinti wote wa ukoo wote wa Mr. Dude wazalie majumbani na wasiolewe kamwe...
Lakini walau asilimia kubwa katika life tunakosea, tumuombee tu kwa Mungu amsamehe makosa yake, na wengine tujifunze kupitia yeye.
 
Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada.

Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni...
Majuto ni kawaida kwa binadamu , Wewe siye unayefanya asiolewe ! Muda wake bado au hiyo point ya yeye kuwa na mtoto ndo anaifanya kisingizio ! Wanawake wangapi wana watoto wanaolewa vizuri tu tena kwa ndoa nzuri na za kudumu!

Humu JF ndo tunadanganyana tusioe single mother tu na kundi lililo humu ni dogo sana !!
Ungelaumiwa kama hutunzi mtoto wako vizuri !! Ila hiyo issue ya mama ni yeye tu anajiwekaje!

Huyo hujamuharibia maisha badilisheni mtazamo maisha yanatoa second chance !! Kweli mlikosea wote lakini sio kitu cha kujisononesha hata kama unaogopa kuhusu karma kwa binti yako mfundishe baada ya makosa ni kunyanyuka sio kuomboleza

! Usikute ana pigo za kifeminist wahuni wakitoroka anajificha kwenye mwamvuli wa Single maza !!

Single maza wanapata mahusiano mazuri tu kama raia wengine tena hata kuliko wasio na watoto ni suala la timing tu.
 
Guilty

Pole mkuu, usikae Kimya mtafute uongee nae,

Muombe msamaha specific kwa kumzalisha

Ukikaa kimya guilty itaendelea kukutesa

Kila Mara akiongea na wewe kukushtumu umemuharibia maisha yake , kubali na umuombe msamaha hapo hapo …

The more unamuomba msamaha na kuonyesha kujutia kitendo chako ndivyo na yeye ata accept fate yake, munavyozidi kuliongelea ndivyo mnapata muda wa kujisamehe

Huyo mdada ni muhimu ajue kuwa furaha sio kuolewa, furaha ni to let things go..

Wewe pia elewa hivyo, ili usifeel guilty jiambie hio ni fate yake Huyo mdada, na Sio kosa lako, kuna wadada wengi wenye watoto wanaolewa, yeye kuwa na mtoto Sio sababu atakosa mume, akikosa mume hio ni fate , has nothing to do with you or her child
 
Back
Top Bottom