Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Asante sn, bila Shaka ni ww niliyekuletea uzi humu kwamba hizi sifa mnazotupaga wtk wa minyanduano Ni za kweli au mnatuzuga tu.

Sasa nimeamini ni sifa za kweli[emoji848][emoji123]
 
Ni mbaba na ndevu anazo[emoji2][emoji51][emoji1787]
Wapo kibao humu na kuna lingine naliona palee ila acha nikaushe[emoji1787][emoji1787][emoji51][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Pisi kali.[emoji57]
Toka lini pisi kali ikawa na mkia katikati ya miguu.
Muogope Mungu we mbaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga mwanaume mzima kujifanya mwanamke nyoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kwako huo ndo udhibitisho kuwa ni mwanamke😃😬.
Kwani mim siwez kusema nimefiwa na mke?🤣😃
 
Jamani😃🤣😬.
Eee Mungu nipe kunyamaza😬🤣😃😏
 
Wewe utarudi kwa huyo baba watoto wako sababu ya njaa lakini si sababu ya kumpenda.

Wewe ni tegemezi.

Bana watoto wako atakuwa na hela .

Pengine ulipokuwa kwake ulikuwa unabadilisha vitoweo sasa kila kukicha mnabandika maharagwe jikoni utaacha kufikiria kurudi ulikotoka?

Njaa mbaya inamfanya mtu anashindwa kufanya maamuzi sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…