Wanauza kitimoto viwanjani kombe la dunia! Mpira ni zaidi ya dini.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!

Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
20260616_113844.jpg
 
View attachment 3608924
Na hiyo package kibongo bongo no Tsh 29500..hakika wamejichana sana
 
Mpira Unaenda kuwa Dini mpya Mkuu.
1. Mnaufuatilia kuliko Mungu.
2. Mnatoa sadaka Kwenye Jersey, Viingilio, kamali kuliko Msikitini na Kanisani.
3. Mnasafiri Umbali Meefu kuliko kwenda Maka wala Jerusalemu.
4 . Mnakesha kuufuatilia kuliko Kuomba na Kusali.
5. Mnaimba Nyimbo kuliko Tenzi Never walk alone.
6.Media zimejaa Mpira kuliko Mungu.

TIMU MOJA INAITWA MASHETANI WEKUNDU NA INAONGOZA MASHABIKI DUNIA NZIMA.
 
Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!

Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
View attachment 3608924
Hii kitu na uhakika kina adriz Akhi Kubwa la Maadui gallow bird Jagina Tanganian wanaitafuna kwa kujificha. Wanadai ni haram ukiila hadharani tu.

MBS wa Saudia anaitafunaga sana na bia juu na ndie custodian of the two Islam holy places na ndi watu wachache sana wanaingia hadi ndani ya kaaba.
 
Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!

Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
View attachment 3608924
Hii kitu na uhakika kina adriz Akhi Kubwa la Maadui gallow bird Jagina Tanganian wanaitafuna kwa kujificha. Wanadai ni haram ukiila hadharani tu.

Mfalme wa Saudia MBS anaitafunaga sana na bia juu na ndie custodian of two Islam holy places na ni miongoni mwa waislamu wachache wanaoruhusiwa kuingia ndani ya kaaba kuswali.
 
Nyama zote hizi nikale nguruwe!!.. nguruwe yupo kundi moja na binadam,hula nyama na majani, nguruwe jike hupata hedhi,ukiweza kumla nguruwe hushindwi kumla binadam
Sijawahi kuona mafala kama.kobazi hata kujielimisha hamtaki mmekalilizwa ujinga.

Leta andiko linalosema nguruwe jike anapata hedhi kama mwanamke.

Bora kukosa mali kuliko akili.
 
Back
Top Bottom