Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Kitimotoz
Mpira unaonekana dhahiri kwa macho ila huyo Mungu wenu hajawahi huonekana na hatakuja huonekana kwani ni fictional character.Mpira Unaenda kuwa Dini mpya Mkuu.
1. Mnaufuatilia kuliko Mungu.
2. Mnatoa sadaka Kwenye Jersey, Viingilio, kamali kuliko Msikitini na Kanisani.
3. Mnasafiri Umbali Meefu kuliko kwenda Maka wala Jerusalemu.
4 . Mnakesha kuufuatilia kuliko Kuomba na Kusali.
5. Mnaimba Nyimbo kuliko Tenzi Never walk alone.
6.Media zimejaa Mpira kuliko Mungu.
TIMU MOJA INAITWA MASHETANI WEKUNDU NA INAONGOZA MASHABIKI DUNIA NZIMA.
Kwahiyo wagalatia ambao masia wao kasema hawana akili na wamerogwa ndio unawaona wamaana?Sijawahi kuona mafala kama.kobazi hata kujielimisha hamtaki mmekalilizwa ujinga.
Leta andiko linalosema nguruwe jike anapata hedhi kama mwanamke.
Bora kukosa mali kuliko akili.
Hii ni saa sana na nusu na sijaona kitu tangu asubuhi zaidi ya matunda halafu unaweka hii mambo siku ya mapumziko ya mwaka mpya ni kinitaka ubaya. Anyway mbona hamna pilipili hapo. Sema jamaa kakausha vizuri sana.Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!
Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
View attachment 3608924
Jini lipi hilo linaloabudiwa? Labda wewe ndiye unayeliabudu jini hili linalopigwa nyundo na mayahudiUnashikiwa akili na watu.
Endelea kuabudu Majini
Hii kitu na uhakika kina adriz Akhi Kubwa la Maadui gallow bird Jagina Tanganian wanaitafuna kwa kujificha. Wanadai ni haram ukiila hadharani tu.
Mfalme wa Saudia MBS anaitafunaga sana na bia juu na ndie custodian of two Islam holy places na ni miongoni mwa waislamu wachache wanaoruhusiwa kuingia ndani ya kaaba kuswali.
Ngamia ni mnyama tofauti na nguruwe,guruwe chafu ndani na njeUnakula NGAMIA?
Nguruwe na binadam kundi mojaSijawahi kuona mafala kama.kobazi hata kujielimisha hamtaki mmekalilizwa ujinga.
Leta andiko linalosema nguruwe jike anapata hedhi kama mwanamke.
Bora kukosa mali kuliko akili.
Hata binadam mtamu,waulize wakongoSwali ni je ni mtamu?
Basi hapati hedhi bali hublidSijawahi kuona mafala kama.kobazi hata kujielimisha hamtaki mmekalilizwa ujinga.
Leta andiko linalosema nguruwe jike anapata hedhi kama mwanamke.
Bora kukosa mali kuliko akili.
Hujajibu swali, unakula NGAMIA?Ngamia ni mnyama tofauti na nguruwe,guruwe chafu ndani na nje
Wewe kwanini huabudu mizizi na mbegu walikuwa wanakula mababu zako wakati wanakamatwa utumwa?Unashikiwa akili na watu.
Endelea kuabudu Majini
Kama unaona sijajibu basi una upeo finyu wa kifikra,na sijadili na watu wenye upeo finyuHujajibu swali, unakula NGAMIA?