Na hiyo package kibongo bongo no Tsh 29500..hakika wamejichana sanaKitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!
Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
View attachment 3608924
DuuuuuuhMASHETANI WE KUNDU
Nikajua na wewe hautumii kitimoto kumbe ni mdauhii picha itanisaidia kwenye mlo wangu wa mchana, ubarikiwe sana yoda,, hapa ni mwendo wa ugali na picha ya chair fire
huwa zinanikif mno, toka nimeanza kutumia haizidi mara 20Nikajua na wewe hautumii kitimoto kumbe ni mdau
Hii kitu na uhakika kina adriz Akhi Kubwa la Maadui gallow bird Jagina Tanganian wanaitafuna kwa kujificha. Wanadai ni haram ukiila hadharani tu.Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!
Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
View attachment 3608924
Nyama zote hizi nikale nguruwe!!.. nguruwe yupo kundi moja na binadam,hula nyama na majani, nguruwe jike hupata hedhi,ukiweza kumla nguruwe hushindwi kumla binadamHii kitu na uhakika kina adriz Akhi Kubwa la Maadui gallow bird Jagina Tanganian wanaitafuna kwa kujificha. Wabadai ni haram ukiila hadharani tu.
Hii kitu na uhakika kina adriz Akhi Kubwa la Maadui gallow bird Jagina Tanganian wanaitafuna kwa kujificha. Wanadai ni haram ukiila hadharani tu.Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!
Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
View attachment 3608924
Mbona sasa unakula kwa kujificha?Nyama zote hizi nikale nguruwe!!.. nguruwe yupo kundi moja na binadam,hula nyama na majani, nguruwe jike hupata hedhi,ukiweza kumla nguruwe hushindwi kumla binadam
Swali ni je ni mtamu?Nyama zote hizi nikale nguruwe!!.. nguruwe yupo kundi moja na binadam,hula nyama na majani, nguruwe jike hupata hedhi,ukiweza kumla nguruwe hushindwi kumla binadam
Sijawahi kuona mafala kama.kobazi hata kujielimisha hamtaki mmekalilizwa ujinga.Nyama zote hizi nikale nguruwe!!.. nguruwe yupo kundi moja na binadam,hula nyama na majani, nguruwe jike hupata hedhi,ukiweza kumla nguruwe hushindwi kumla binadam
Mbona sasa unakula kwa kujificha?
Unakula NGAMIA?Nyama zote hizi nikale nguruwe!!.. nguruwe yupo kundi moja na binadam,hula nyama na majani, nguruwe jike hupata hedhi,ukiweza kumla nguruwe hushindwi kumla binadam