Wanauza kitimoto viwanjani kombe la dunia! Mpira ni zaidi ya dini.

Mpira unaonekana dhahiri kwa macho ila huyo Mungu wenu hajawahi huonekana na hatakuja huonekana kwani ni fictional character.
 
Sijawahi kuona mafala kama.kobazi hata kujielimisha hamtaki mmekalilizwa ujinga.

Leta andiko linalosema nguruwe jike anapata hedhi kama mwanamke.

Bora kukosa mali kuliko akili.
Kwahiyo wagalatia ambao masia wao kasema hawana akili na wamerogwa ndio unawaona wamaana?
Basi masia wenu atakuwa kichaa kwa kusema hamna akili.
 
Hii ni saa sana na nusu na sijaona kitu tangu asubuhi zaidi ya matunda halafu unaweka hii mambo siku ya mapumziko ya mwaka mpya ni kinitaka ubaya. Anyway mbona hamna pilipili hapo. Sema jamaa kakausha vizuri sana.
 
mexico is a Christian country (>95% Christians) vs Muslims in mexico ni 0.%, sasa kwa nini wajali kuhusu muslims ambao ni non-existent wanakula nini? ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…