Tayari ipo mkuu, wengi km siyo baadhi wanapandikizwa na kuoigwa wembe kisa hawataki kukutana na nyie pia kuoata uchungu as they called usumbufu.Huyo mtoto ubini wake ni nani..??
Je mwanamke bikra anaweza pandikizwa na akazaa wakati ametunza bikra yake..??
Alafu huu ujinga utasababisha wanawake wawe na kibri sana, kwamba anaweza kupata mtoto hata bila kupigwa miti...😎
Wanaotaka huduma ya kubebewa mimba jamani (surrogacy) , kizazi kipo available. Inbox me. [emoji51] No seriously, isn't surrogacy a thing yet in Tz??
Bichwa la habari watoto 500 utumbo wa habari watoto 250 toka 2017, kwa maana hiyo ni uwiano wa watoto 50 tu kwa mwaka au 4 tu kwa mwezi.Mwanamke mmoja (50), amefanikiwa kupata watoto mapacha kwa njia ya upandikizaji mimba jijini Arusha.
Mwanamama huyo ni mmoja kati ya wanawake 500 waliofanikiwa kupata watoto kwa huduma hiyo inayotolewa na kituo cha Huduma ya Uzazi na Upandikizaji Mimba cha Avinta Care Medical kilichopo jijini humo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha mapema wikii hii, Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi wa kituo hicho, Nicholaus Mazuguni amesema kwa sasa wanafanya huduma hiyo wakishirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Amesema waliamua kutoa huduma hiyo ili kutatua changamoto ya uzazi iliyokuwa ikisumbua familia nyingi na kufuata huduma hiyo nje ya nchi, ambapo kwa sasa wanahudumia wagonjwa 100 kwa wiki.
"Tumeanza kutoa huduma hii 2017, tumeshapandikiza wanawake zaidi ya 500 na kufanikiwa kupata watoto zaidi ya 250. Mwitikio ni mkubwa kwa sababu watu walikuwa wanatumia gharama kubwa kwenda nje ya nchi”
"Mara ya mwisho tumempandikiza mapacha mwanamke mwenye miaka 50 na amefanikiwa kupata watoto wake vizuri bila shida yoyote. Wengi wanafurahi kwani wameteseka na kukutana na changamoto nyingi katika kutafuta watoto. Gharama zetu za utoaji wa huduma ni kuanzia Sh7 milioni na kuendelea kulingana na umri wa mgonjwa," amesema.
Kwa upande wake Daktari wa akinamama kutokana Muhimbili, Hildegarda Aloyce amesema wamekuwa wakishirikiana na kituo hicho cha Avinta katika kutatua changamoto za uzazi kwani tatizo hilo bado ni kubwa katika jamii ambapo kati ya wagonjwa 10 ambao wamekuwa wakipokelewa wagonjwa 4 hadi 6 wana tatizo la uzazi .
Mganga Mkuu wa Mkoa, Dokta Sylvia Mamkwe amepongeza juhudi hizo zilizofanywa na kituo hicho kwa kushirikiana na hospitali nyingine,na Kama serikali wapo tayari kutoa ushirikiano wa kutosha katika kufanikisha huduma hiyo ili kuwahudumia wagonjwa wengi zaidi.
Mmoja wa wanufaika kutokaa wilayani Simanjiro, Martha Sangwa amesema kuwa amefurahishwa sana kwa huduma hiyo iliyomfanikisha kupata watoto mapacha kwani ameteseka kwa miaka 16 bila msaada wowote, hivyo uwepo wa kituo hicho ni faraja kubwa sana kwao na kuwataka wanawake kujitokeza kwa wingi kupata huduma hiyo.
Source: Mwananchi
Tena ukorofi uliopiziliza😂😂😂Ukorofi
Ushimeeeeen. Unaitwa huku mkuu[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]Huyo mtoto ubini wake ni nani..??
Je mwanamke bikra anaweza pandikizwa na akazaa wakati ametunza bikra yake..??
Alafu huu ujinga utasababisha wanawake wawe na kibri sana, kwamba anaweza kupata mtoto hata bila kupigwa miti...[emoji41]
namshukuru Mungu amenipa watoto naturally kupitia mke wangu. hata hivyo, nilishaapa, sitahitaji mtoto wa kupandikiza, simtaki, na nisingempenda., kwasababu nisingeona kama ni mtoto au mwanadamu halisi kama wanadamu wengine. samahani kwa nitakayemuudhi.Mwanamke mmoja (50), amefanikiwa kupata watoto mapacha kwa njia ya upandikizaji mimba jijini Arusha.
Mwanamama huyo ni mmoja kati ya wanawake 500 waliofanikiwa kupata watoto kwa huduma hiyo inayotolewa na kituo cha Huduma ya Uzazi na Upandikizaji Mimba cha Avinta Care Medical kilichopo jijini humo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha mapema wikii hii, Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi wa kituo hicho, Nicholaus Mazuguni amesema kwa sasa wanafanya huduma hiyo wakishirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Amesema waliamua kutoa huduma hiyo ili kutatua changamoto ya uzazi iliyokuwa ikisumbua familia nyingi na kufuata huduma hiyo nje ya nchi, ambapo kwa sasa wanahudumia wagonjwa 100 kwa wiki.
"Tumeanza kutoa huduma hii 2017, tumeshapandikiza wanawake zaidi ya 500 na kufanikiwa kupata watoto zaidi ya 250. Mwitikio ni mkubwa kwa sababu watu walikuwa wanatumia gharama kubwa kwenda nje ya nchi”
"Mara ya mwisho tumempandikiza mapacha mwanamke mwenye miaka 50 na amefanikiwa kupata watoto wake vizuri bila shida yoyote. Wengi wanafurahi kwani wameteseka na kukutana na changamoto nyingi katika kutafuta watoto. Gharama zetu za utoaji wa huduma ni kuanzia Sh7 milioni na kuendelea kulingana na umri wa mgonjwa," amesema.
Kwa upande wake Daktari wa akinamama kutokana Muhimbili, Hildegarda Aloyce amesema wamekuwa wakishirikiana na kituo hicho cha Avinta katika kutatua changamoto za uzazi kwani tatizo hilo bado ni kubwa katika jamii ambapo kati ya wagonjwa 10 ambao wamekuwa wakipokelewa wagonjwa 4 hadi 6 wana tatizo la uzazi .
Mganga Mkuu wa Mkoa, Dokta Sylvia Mamkwe amepongeza juhudi hizo zilizofanywa na kituo hicho kwa kushirikiana na hospitali nyingine,na Kama serikali wapo tayari kutoa ushirikiano wa kutosha katika kufanikisha huduma hiyo ili kuwahudumia wagonjwa wengi zaidi.
Mmoja wa wanufaika kutokaa wilayani Simanjiro, Martha Sangwa amesema kuwa amefurahishwa sana kwa huduma hiyo iliyomfanikisha kupata watoto mapacha kwani ameteseka kwa miaka 16 bila msaada wowote, hivyo uwepo wa kituo hicho ni faraja kubwa sana kwao na kuwataka wanawake kujitokeza kwa wingi kupata huduma hiyo.
Source: Mwananchi
Umezingua maza..ebu tuliza akili soma tena bila kuwa na mrengo fulaniBichwa la habari watoo 500 utumbo wa habari no watoto 250 toka 2017, kwa maana hiyo ni uwiano wa watoto 50 tu kwa mwaka au 4 tu kwa mwezi.
Hivi kwanini mnapenda kuandika uongo?
😂😂😂 Unataka pesa.Wanaotaka huduma ya kubebewa mimba jamani (surrogacy) , kizazi kipo available. Inbox me. 😬 No seriously, isn't surrogacy a thing yet in Tz??
Dah!!!,Mimi siwezi kuipokea.Duh! Hongera Maabara....Hapo Baba ukipewa Hongera unaitika au?
Mimi nasimamia kucha.Wanaume Tujiandae kisaikolojia.