Kiboko hii ungewatimua
Nakinai kukuona mara kwa mara na bia moja ππSasa nikikaa sana wewe unakwazika na nini?
Usawa huuuSi huwa wana kusubiri ukawanunulie zilizobakiππ
Sasa nikikaa sana wewe unakwazika na nini?
Lazima wajifunzeMambo yao waachie wenyewe...
Kama mtu hawez kunywa bia nyingi jeeπππutamlazmisha?Lazima wajifunze
ππ Wee utapata tabu sana kwa hali hiyo kitu wafanye wengine ukereke wewe. Haya niambie upo wapi nije niagize soda moja usiku mzima ukereke vizuri.Nakinai kukuona mara kwa mara na bia moja ππ
ππ Ana matatizo yake huyu.Asikupangie chakufanya huyo π π π
Nipo huku kibaha πππ kwa mangiππ Wee utapata tabu sana kwa hali hiyo kitu wafanye wengine ukereke wewe. Haya niambie upo wapi nije niagize soda moja usiku mzima ukereke vizuri.
Na kwanini akiambiwa aagize kinywaji ana badilisha?Kama mtu hawez kunywa bia nyingi jeeπππutamlazmisha
ππNipo huku kibaha πππ kwa mangi