Wanawake acheni kulazimisha ndoa

Wanawake acheni kulazimisha ndoa

Wanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo

Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa ila jikite kupata maokoto kama umri unaenda na unataka mtoto ukibeba mimba kwa kudhamiria ila mwanaume alikuwa ataki na kabla uja beba weka akilini mwanaume akikataa utalea mwenyewe bila kumsumbua kwasababu wewe ndio mwenye shida na mtoto sio yeye

Kuna wanawake wengine wapo vizuri sana ana mwambia kabisa mwanaume na mimba analea mwenyewe mwanaume asipo mtunza hana muda analea na kumtunza mwanae na mtoto akitaka kumuona baba yake ana muona kwa wakati bila pangamizi hamjazi sumu mtoto ili amchukie baba yake

Ila sasa ninyi wengine mlio kuwa mnataka ndoa mkakosa mkaishia kubeba mimba mnasumbua sana mnafanya watoto kama ndio kitega uchimi wenu yaani unashida na hela ya kusuka una ibuka kwa baba mtoto matusi kibao unajua mwanao anakula nini anavaa nini haipendezi
Lea mtoto acha visingizio .......
 
Aisee hii hali iko duniani kote Wanawake wamekuwa wakihangaika na kubembeleza mahusiano. Miaka mitano ijayo hiyo hali na hapa Tanzania itakuwa imeshakua kama huko nchi za Ulaya na Asia. Kuna mitandao ukiingia yaani unapapatikiwa na Wanawake wa Kizungu mpaka unajiuliza sasa hawa nitawafikia au watanifikia Vipi?

Kimsingi Wanawake wengi Wana hali mbaya na mfadhaiko sana wa kihisia.
Ukweli mchungu Sana huu
 
Wanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo

Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa ila jikite kupata maokoto kama umri unaenda na unataka mtoto ukibeba mimba kwa kudhamiria ila mwanaume alikuwa ataki na kabla uja beba weka akilini mwanaume akikataa utalea mwenyewe bila kumsumbua kwasababu wewe ndio mwenye shida na mtoto sio yeye

Kuna wanawake wengine wapo vizuri sana ana mwambia kabisa mwanaume na mimba analea mwenyewe mwanaume asipo mtunza hana muda analea na kumtunza mwanae na mtoto akitaka kumuona baba yake ana muona kwa wakati bila pangamizi hamjazi sumu mtoto ili amchukie baba yake

Ila sasa ninyi wengine mlio kuwa mnataka ndoa mkakosa mkaishia kubeba mimba mnasumbua sana mnafanya watoto kama ndio kitega uchimi wenu yaani unashida na hela ya kusuka una ibuka kwa baba mtoto matusi kibao unajua mwanao anakula nini anavaa nini haipendezi
Kanuni yetu ni ile ile

MWANAUME KATAA NDOA
NDOA NI UMASKINI
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA ULINDE KIBUNDA CHAKO
 
Utabiri wa Isaiah 4:1 haipo mbali na kutumia.

Ni suala la Muda Tu.

Akina Mwajuma Badala ndefu mlionikataa kipindi kile nikiwa bado najitafuta nimekaa pale nawangoja
 
Wachaga wapo maeneo tofautitofauti mkoani Kilimanjaro usituweke kundi moja.
Mfano kule rombo mtoto anazaliwa hadi anabalehe hajui mswaki lakini meno meupe pee.
Ukija kibosho hata wakishindia miswaki meno yao yanakua na rangi utadhani wanashindia tumbaku
We jamaa muongo bana, Arusha ndio kuna maji yenye flouride kwa wingi ambayo inasababisha meno kuwa ya chocolate (fluorosis)
 
hawa dada zetu wanapitia mgumu sana! Kuna huyu ananisalimia kila siku hapa offsin natamannimwambie napenda mishangazi! Asihangaike na mim ana mtoto na anataka kuolewa tena!.
 
Back
Top Bottom