ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Tuone.Mimi nilishasafisha meno bana, halafu uchagani wala hayo meno hamna yapo Arusha. Kwetu sisi tumezaliwa na kukulia Arusha ila tulikuwa tuna attend kwa dentist regularly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuone.Mimi nilishasafisha meno bana, halafu uchagani wala hayo meno hamna yapo Arusha. Kwetu sisi tumezaliwa na kukulia Arusha ila tulikuwa tuna attend kwa dentist regularly
Sio muda ile inatokana na maji ya eneo hilo unakuta yamezidi sijui ni floraidWapewe muda
Sure ni wajanja fulani, tena location inaweza kusoma km 2 kutoka hapo ulipo ila wapo maelfu ya kmHao ni matapeli tu wanaija hao 😀😀
Cha msingi usiingie cha kike ukaoa mpare tuSawa alazimishe kichwani ziwepo
Lea mtoto acha visingizio .......Wanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo
Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa ila jikite kupata maokoto kama umri unaenda na unataka mtoto ukibeba mimba kwa kudhamiria ila mwanaume alikuwa ataki na kabla uja beba weka akilini mwanaume akikataa utalea mwenyewe bila kumsumbua kwasababu wewe ndio mwenye shida na mtoto sio yeye
Kuna wanawake wengine wapo vizuri sana ana mwambia kabisa mwanaume na mimba analea mwenyewe mwanaume asipo mtunza hana muda analea na kumtunza mwanae na mtoto akitaka kumuona baba yake ana muona kwa wakati bila pangamizi hamjazi sumu mtoto ili amchukie baba yake
Ila sasa ninyi wengine mlio kuwa mnataka ndoa mkakosa mkaishia kubeba mimba mnasumbua sana mnafanya watoto kama ndio kitega uchimi wenu yaani unashida na hela ya kusuka una ibuka kwa baba mtoto matusi kibao unajua mwanao anakula nini anavaa nini haipendezi
Sasa sababu mnaijua wavumilieniSio muda ile inatokana na maji ya eneo hilo unakuta yamezidi sijui ni floraid
Wanaloga hao hakuna mfano 😂Cha msingi usiingie cha kike ukaoa mpare tu
Sawa bhnLea mtoto acha visingizio .......
Ukweli mchungu Sana huuAisee hii hali iko duniani kote Wanawake wamekuwa wakihangaika na kubembeleza mahusiano. Miaka mitano ijayo hiyo hali na hapa Tanzania itakuwa imeshakua kama huko nchi za Ulaya na Asia. Kuna mitandao ukiingia yaani unapapatikiwa na Wanawake wa Kizungu mpaka unajiuliza sasa hawa nitawafikia au watanifikia Vipi?
Kimsingi Wanawake wengi Wana hali mbaya na mfadhaiko sana wa kihisia.
Sababu zinajulikana ila wanawake hawaelewi labda uwe na hela ndio watakubatiza jina la mtu mwenye meno ya dhahabu 🤣🤣Sasa sababu mnaijua wavumilieni
Kanuni yetu ni ile ileWanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo
Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa ila jikite kupata maokoto kama umri unaenda na unataka mtoto ukibeba mimba kwa kudhamiria ila mwanaume alikuwa ataki na kabla uja beba weka akilini mwanaume akikataa utalea mwenyewe bila kumsumbua kwasababu wewe ndio mwenye shida na mtoto sio yeye
Kuna wanawake wengine wapo vizuri sana ana mwambia kabisa mwanaume na mimba analea mwenyewe mwanaume asipo mtunza hana muda analea na kumtunza mwanae na mtoto akitaka kumuona baba yake ana muona kwa wakati bila pangamizi hamjazi sumu mtoto ili amchukie baba yake
Ila sasa ninyi wengine mlio kuwa mnataka ndoa mkakosa mkaishia kubeba mimba mnasumbua sana mnafanya watoto kama ndio kitega uchimi wenu yaani unashida na hela ya kusuka una ibuka kwa baba mtoto matusi kibao unajua mwanao anakula nini anavaa nini haipendezi
Napajua ni nyumbaniAcha nimtetee ephen, unapajua kibosho?
Fungua sasa hiyo PM mama la mama.Tuone.
Sasa kwa asilimia kubwa watu wa kule wana meno ya rangi sababu ya maji ya kule.Napajua ni nyumbani
We jamaa muongo bana, Arusha ndio kuna maji yenye flouride kwa wingi ambayo inasababisha meno kuwa ya chocolate (fluorosis)Wachaga wapo maeneo tofautitofauti mkoani Kilimanjaro usituweke kundi moja.
Mfano kule rombo mtoto anazaliwa hadi anabalehe hajui mswaki lakini meno meupe pee.
Ukija kibosho hata wakishindia miswaki meno yao yanakua na rangi utadhani wanashindia tumbaku
Hata Kilimanjaro maeneo ya kibosho japo hayajafikia ya meruWe jamaa muongo bana, Arusha ndio kuna maji yenye flouride kwa wingi ambayo inasababisha meno kuwa ya chocolate (fluorosis)
Sure mkuuKanuni yetu ni ile ile
MWANAUME KATAA NDOA
NDOA NI UMASKINI
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA ULINDE KIBUNDA CHAKO