Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana.
Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi na enzi mwanamke amekuwa akivaa mavazi yenye kuruhusu hewa kufika kwa wingi kwenye sehemu zake za siri..
Mkitaka kupata magonjwa mtambuka endeleeni kuvaa haya ma-mipira.
Kwanza mnatafuta nn? Wewe kama mbaya ni mbaya tu. Sasa ukijivisha haya ma-mipira ndiyo utabadilika?? Mxiuuuuu.