Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa huwa nawakubali sanaWanaojielewa huwa hawahangaiki na mavitu feki hayo...
anaumia kwa sababu yeye ndio mtumiaji mkuu wa hiyo bidhaa mnayoiharibu kwa haya majaza makalio yenuAjabu unae umia ni wee mwanaume, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdomo komaa, Jah nisaidie kunyamaza. Uwiiiiiih
Sasa kama wao wenyewe hawazionei huruma K zao wewe Ni Nani kuwasikitikia?
Achana nayo...Biashara matangazo...haya sawa tutanunua
Mule mule...Weee acha ukorofi 🤣🤣
Unavyopenda natural things...😃Achana nayo...
Kabisa... mambo mengi siyo mambo yangu....Unavyopenda natural things...😃
Umewaachia wenyeweKabisa... mambo mengi siyo mambo yangu....
Hakika mambo yao wabaki nayo wenyewe...Umewaachia wenyewe
nahisi hawajui madhara yake au ndo wale wanaosema bora ulie ukiwa kwenye Benzi badala ya baiskeli.Kuna wale wanaokwenda uturuki wanapasuliwa na kuwekewa maputo kwenye makalio na hips. Hawa watu wasubiri mateso ya uzeeni