Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.
Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.