Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

We pia ni mwanamke mwenzetu pamoja na Ndege Tausi ?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mm pia nimechefukwa uzi ukazingirwa na jinsia nyinginr!..hakuna kitu nataman km wote tupite labor jaman! Maana kuhadithia ngumu kueleweka..unashangaa kijitu kina 22yrs kinashauri ujinga!
 
Back
Top Bottom