India ilikatazwa baada ya mashoga wa kimarekani kuimisuse. Wanaruhusu wahindi wenzao tu. Kwa kenya wapo wengi na Sauzi.
Hapa TZ haipo rasmi kivile ila ipo. Unapanga na mdada (awe keshazaa wakwake angalau mmoja, unampeleka India anabebeshwa na kama pesa inaruhusu anakaa hapo hospitali kwa miezi 7 ili wasaidie ku monitor kiumbe tumboni maana huwezi kurisk upate Mlemavu au mwenye utindio.
Baada ya hapo unamrejesha hapa nchini (kumbuka akijifungulia huko kasheshe yake ni kali mpaka upate kibali kabla mtoto hajazaliwa kuwa serikali ya JMT itamtambua kuwa ni Raia wake).
Unaishi naye hadi anaenda kujifungua kwa Operation tu. Huko huko akitoka thyeta hata mtoto hamuoni unampa chake anaishia.