Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.

Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.

i can feel your pain mdada. Pole sana na pia usikate tamaa maana Mungu hajatuumbia majaribu yaliyo nje ya uwezo wetu. Stay strong
 
Mkuu huu ni unyanyapaa! Sio kila mtu amecheza na ujana! Utajiskiaje uwe wewe huna uwezo atokee mtu aseme hvi?? Hvi kwann tunakosa utu namna hii?
Hakuna unyanyapaa, wasichana wa kizazi cha Leo haswa wasomi kuwa nao makini wengi unakuta alishatoa mimba na wamemharibu kizazi,
 
Back
Top Bottom