Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Mimi nishatumia njia zote za uzazi za mahospitali na nimeanza tokea na miaka 18 hukooo na Nina watoto zaidi ya 2 , natumia vijiti nawekaga vya miaka mitatu mitatu nikitoa tu haipiti mwezi mimba .na hapo sijakuhesabia mimba nilizopunch za ujanaacha kujifariji, kachome sindano kwa miaka miwili alafu uje ulete mrejesho kama ikishika haizidi miezi mitatu itaharibika au ndiyo hizo unazosemea.