Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

Wakituambia sababu ndio watapata watoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ikawa hivyo. Maana wapo waliofanya makosa na hawajui kama wamefanya kosa,pia wapo walio fanya makosa na wana jua kwamba ni kosa ila hawaja tubia, kisha wakapewa mtihani. Kukosa mtoto ni mtihani kama mitihani mingine, kwayo ina majibu yake kwa maana huenda wakapata watoto.
 
Kwa hiyo kupata mtihani ni lazima uwe umekosea? Huwezi kupata mitihani tu kwaajili ya kuimarisha imani yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.

Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.

Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.

Karibuni.
Mungu ajibu haja za moyo wako. Kamsome Hanna jinsi alivyonangwa na Penina. Ila Hanna hakuchoka kumuomba Mungu. Hatimae akampa Samuel.
 
Ndege Tausi, Asee pole, hata mamaye nabii samuel (hanah) alikuwa tasa na mwenzake alimchokoza sana, Alilia na kumwomba Mungu Mwenyezi naye akasikia na kumpa samuel nabii.

Vumilia tu muombe Mungu toa sadaka naamini Mungu atakupa samuel wako siku moja.

Sent using Rocket Propelled Grenade
 
Back
Top Bottom