AmenMshukuru Mungu kwa hali unayoipitia..
Ni maombi yangu kutoka ndani ya vilindi vya moyo wangu,Mungu akukumbuke na akupatie hitaji la moyo wako kwa utukufu Wa jina lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenMshukuru Mungu kwa hali unayoipitia..
Ni maombi yangu kutoka ndani ya vilindi vya moyo wangu,Mungu akukumbuke na akupatie hitaji la moyo wako kwa utukufu Wa jina lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akufanyie Wepesi Mumy..Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Alizaa?Wanawake bwana!!! Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake
My wife wakati anaangaika ku conceive alikuwa anapata vijembe sana kutoka kwa wanawake flani flani lakini niliendelea kumtia moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki inbox naweza nikakusaidia kama utahitajNi mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Dah...ila nawakumbusha tu hawa dada zetu.... kama wanasubiri wazae kama bikira Maria wajue hilo haliwezekani aslan....Bora wewe umetoa muongozo maana kuna wavulana huko juu wanajiropokea tu.
Watanzania wanapenda kuingiza siasa kila mahali. Mtu aseme kwa nini hapati mtoto sio kuangalia matokeo tu. Sababu ni nini? Ulitoa mimba? Na wakati unaolewa ulijua kuwa huzai? je ulimtaarifu mwenzio kabla ya ndoa na akakubali kukuoa hivyo hivyo au ulimtapeli?Uwakumbushe wenzako wakiwa wanatiana moyo watueleze sababu zinazowafanya wasipate watoto sio wanatiana moyo tu.
Maana kila kitu kina sababu.
Tushamaliza na kuzaa tunalea
Hamna punyeto haina madhara hayo. Nenda hospitali kafanye sperm analysis. Anzia hapo mengine daktari atakushauri. Pole sanaHivi punyeto inaweza kuwa na madhara katika mfumo wa uzazi. Niko ndoani hapa na mwenzangu mwaka wa pili bila bila, sijui hiyo kitu inaweza kuwa ilichangia?
Asante. Ndivyo ninavyofanya.
mtoa mimba mkubwa wewe.Qur'an 57:
![]()
20. Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa malipo na watoto. Mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua. Na akhera kuna adhabu kali na maghfira kutoka kwa Mwenyezi Mungu na radhi. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu. 20
Thank you! Hospitali zipi zenye expertise kwenye hizo mambo preferably in Dodoma or Dar?Hamna punyeto haina madhara hayo. Nenda hospitali kafanye sperm analysis. Anzia hapo mengine daktari atakushauri. Pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma nenda Lancet ipo uhindini I can give u contacts za wahusika wa pale. Kwa dar Regency hospital sio mbaya. Ila ukionana na Dr mwambie shida yako vizuri anaweza kushauri vipimo vingine vya kufanya.Thank you! Hospitali zipi zenye expertise kwenye hizo mambo preferably in Dodoma or Dar?
Dah...kabla ya kwenda hospital anaweza fanya analysis mwenyewe...Jaza maji ya bomba ndani ya glass...changanya na sukari vijiko 2 vya chakula na chumvi vijiko 2 pia. Koroga hadi iyayuke yote...Kisha piga bao lako ndani ya glass...angalia mbegu zimezama kiasi gani ndani ya maji...Kama ni zaidi ya nusu Basi uko vizuri....Hamna punyeto haina madhara hayo. Nenda hospitali kafanye sperm analysis. Anzia hapo mengine daktari atakushauri. Pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafute nikwambie sababu na tiba yake. Atafutaye hachoki.Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Dah...kabla ya kwenda hospital anaweza fanya analysis mwenyewe...Jaza maji ya bomba ndani ya glass...changanya na sukari vijiko 2 vya chakula na chumvi vijiko 2 pia. Koroga hadi iyayuke yote...Kisha piga bao lako ndani ya glass...angalia mbegu zimezama kiasi gani ndani ya maji...Kama ni zaidi ya nusu Basi uko vizuri....
Angalizo: Uchunguzi huu hufanywa baada ya masaa 24 toka ulivyopiga bao la mwisho [emoji41][emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Ndo maana wanaume huwa tunaanza kutest mitambo ukiona mpenzi wako kapata mimba ndo unaanza maandalizi ya kuoaNaomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.
Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.
Asante dear, nawasamehe kwani hawajui walitendalo!Pole Sana shida ya Jf Kuna vijana ambao bado wanahitaji muda wa kukua zaidi wajue changamoto za kidunia wakikua wataacha wasamehe bure tu.