Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Mleta mada mbona kama umekata tamaa kwa kuzingatia kichwa cha Habari cha mada?!
Au sivyo?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Au sivyo?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi kusema kwa nini hadi leo hana ndoa/hana mtoto
Nadhani nianze kwa kusema poleni.Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.
Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.
Amezaa tayari huyo siyo mgumba hata alibeba mimba mtoto akafa huyo si mgumba.Aah wap, 99asilimia ni hivyo na kutumia sindano kwa muda mrefu,
kuna wengine wakipata mtoto mmoja au wawili wanaanza kuchoma sindano na baada ya hapo habari ya mtoto kwisha!
Haahaaa[emoji16][emoji16][emoji16]Mimi nishatumia njia zote za uzazi za mahospitali na nimeanza tokea na miaka 18 hukooo na Nina watoto zaidi ya 2 , natumia vijiti nawekaga vya miaka mitatu mitatu nikitoa tu haipiti mwezi mimba .na hapo sijakuhesabia mimba nilizopunch za ujana
Teh teh teh...kupatwa kwa wanawake[emoji16][emoji16]Kuna mdau hapo juu amesema Aduinwa mwenamke ni mwanamke mwenyewe, nakuna liana kabisa!
Nilipoanza kuishi na wife, nilitoa mikakati kuwa Hakuna kuzaa mapema, na kweli ilipotea miaka karibu mitano bila ya kuwa na mtoto, kelele za kumbeza wife zilikuwa nyingi Sana kuanzia majirani wa kike hadi mawifi. Cha ajabu lawama zote alikuwa anatupiwa mwanamke na wanawake wenzake, mie nilikuwa siguswi,
Pole Mtoa Mada kwa mapito unayo pitia ila tu jipe moyo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama mmewahi kupima ww na mmeo ili kubaini mwenye tatizo?Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.
Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.
Masikini Ndege Tausi hana tu mtoto ila ni mrembo sana! View attachment 1349098
Wengine wanashikwa kichawi....hapo huwezi kuzaa kabisa...Kadogo kangu mwaka wa 2 kameolewa halafu hakajapata mtoto..stress naona zataka kukaua.
Mungu Amsaidie..maana mswifi si watu wa mchezo
Huenda ikawa hivyo. Maana wapo waliofanya makosa na hawajui kama wamefanya kosa,pia wapo walio fanya makosa na wana jua kwamba ni kosa ila hawaja tubia, kisha wakapewa mtihani. Kukosa mtoto ni mtihani kama mitihani mingine, kwayo ina majibu yake kwa maana huenda wakapata watoto.
Hivi punyeto inaweza kuwa na madhara katika mfumo wa uzazi. Niko ndoani hapa na mwenzangu mwaka wa pili bila bila, sijui hiyo kitu inaweza kuwa ilichangia?Wanaume wenye matatizo ya low sperm count/ no sperm at all. Na nyie mlitoa nini? Au punyeto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mwaya.Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Aise mpe pole Mungu ni mwemaDada yangu ameolewa kwa zaidi ya miaka 15 na alibeba mimba moja tu ndani ya miezi saba akajifungua mtoto njiti akafariki. Aiseee stress za mwanamke anaetafuta mtoto omba sana Mungu zisikupate, kaenda kila hospital aliyotajiwa inasaidia, makanisa, dawa za kienyeji lakini wapi. Machozi na stori za kukata tamaa kila utakapokutana nae hofu ikiwa kama mume wake ana mtoto pembeni na hajawahi kumwambia. Mwaka jana mtu akamwambia aende KSMC kujaribu na akaapa hii ndio mara ya mwisho kwake kuhangaika. Mungu si athumani after miezi ya kunywa dawa sasa hivi ni MJAMZITO, Mungu anakupa kwa wakati wake hawai wala hachelewi, msichoke msikate tamaa.
Yatosha sasa tuzaeMimi nishatumia njia zote za uzazi za mahospitali na nimeanza tokea na miaka 18 hukooo na Nina watoto zaidi ya 2 , natumia vijiti nawekaga vya miaka mitatu mitatu nikitoa tu haipiti mwezi mimba .na hapo sijakuhesabia mimba nilizopunch za ujana