Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Hahahah bila ubishi 😂
Watu wa dini kosa letu nini? Kusema wamwombe Mungu atawakumbuka kwa wakati wake?Huu uzi umeingiliwa na watu wadini, wakebehiji, wajuaji kupitiliza, madaktari feki, watapeli n.k [emoji1505][emoji3601][emoji1505][emoji3601][emoji1505][emoji3601]
Watu wa dini kosa letu nini? Kusema wamwombe Mungu atawakumbuka kwa wakati wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawaKuna kina nyie mmesema in a +ve way, kuna wengine wamesema in a -ve way ndio hao nimewamaanisha
Serikali ina uthibitisho?wema sepetu kawachafua jana alitoa mimba na serikali ipo tu hata haimchukulii hatua
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana jamani dada!Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Je Hawa ambao wanatoa mimba na wanatumia njia za uzazi na bado hawana matatizo ya uzazi kitu gani kinawasababisha waendelee kuzaa??Ukweli ni kuwa wanawake wenye matatizo ya uzazi wengi wao wanajua sababu, labda asilimia moja au mbili ndiyo hawajuh walichokifanya!
Kila chenye mwanzo hakikosi mwishoGianna Bryant, mtoto wa Kobe Bryant, kafa na babake kwenye ajali ya helikopta.
Huyo binti kafanya nini mpaka maisha yake yakatishwe kikatili namna ile?
Wewe kama una uwezo wa kuzuia mwanao asife kwa ajali kama ile, utamwacha afe au utaizuia hiyo ajali?
Hakuna mungu.
Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.
Nimejaribu hata kupandikiziwa mbegu zaidi ya mara moja bado ikashindikana.
Kuna watu hapa wanaropoka tu bila kujua uchungu wala uzito wa kulibeba tatizo hili.
Wengine wanakimbilia kuhukumu kuwa ni madhara ya kutoa mimba pasipo kujua kuwa sio wote wenye matatizo haya tulitoa mimba.
Hao si kivile, ila kuna wale toka shule za msingi mpaka chuo ndiyo wengi wanamatatizo,Je Hawa ambao wanatoa mimba na wanatumia njia za uzazi na bado hawana matatizo ya uzazi kitu gani kinawasababisha waendelee kuzaa??
Hao si kivile, ila kuna wale toka shule za msingi mpaka chuo ndiyo wengi wanamatatizo,
wewe umeshakuta std7 au 4/4 waliyo kwenye ndoa wanahangaika kuhusu watoto?
sijaona kabisa huku kwetu wanawake ambao hawana elimu kubwa wakihangaika kuhusu kupata watoto kama akitokea ni kumi kwa moja!Duh kwa hiyo la saba hawahangaiki? Unatokea jamii ya wapi ndugu yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawafahamu Std 7 wengi tu wanahangaika kupata watoto hebu tuacheni kuhukumu jamanisijaona kabisa huku kwetu wanawake ambao hawana elimu kubwa wakihangaika kuhusu kupata watoto kama akitokea ni kumi kwa moja!
Pole mm sihukumu ili tupende kuwa wakweli!Mimi nawafahamu Std 7 wengi tu wanahangaika kupata watoto hebu tuacheni kuhukumu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sitafuti mtoto sijui unanipa pole ya niniPole mm sihukumu ili tupende kuwa wakweli!