Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,659
Shukrani. Kwanini asiwe ndugu wala mtu wa karibu?Kama unahitaji ushauri zaidi unakaribishwa ila surrogate asiwe ndugu yako au mtu wa karibu
Shukrani. Kwanini asiwe ndugu wala mtu wa karibu?Kama unahitaji ushauri zaidi unakaribishwa ila surrogate asiwe ndugu yako au mtu wa karibu
Ubarikiwe mpendwa
Hawajui wayatendao hivyo tunawasamehe bureMkuu huu ni unyanyapaa! Sio kila mtu amecheza na ujana! Utajiskiaje uwe wewe huna uwezo atokee mtu aseme hvi?? Hvi kwann tunakosa utu namna hii?
Ni wazo mbadala zuri ila hii haimalizi uchungu bali inaupunguza tu
Aiseee by are you so rude jamani, ebu Peoria stress zako za kukosa kodi ya nyumba😡😡😡😡😡😡
Amen!Mungu wa Mbinguni atawafanyia muujiza and yout will see the fruit of your womb
Uarabuni kuna joto Mara 2 ya dar na watu wanazaana Kama njugu.Kwa wanaume wengi waishiyo Dar kuweza kumpa mimba mwanamke ni changamoto. Kisayansi mbegu za kiume ili zifanye kazi yake lazima ziwe zimekamilika, kuanzia kichwa mpaka mkia. Pia mazingira yanayochangia sperm au manii ziweze kutengenezwa zilizo hai ni kusiwe na joto sana sehem za uzazi wa mwanaume. Ukiangalia kwa Dar siku hizi hili joto la nje jumlisha jeans au suruale za kubana wanazovaa wanaume zinachangia kutokupata watoto na lawana zinapelekwa kwa wanawake au mke.
Ya Mungu mengi mkuu, yamkini Mungu amekutumia wewe kumfuta machozi, tafadhali mwamini na uwe karibu yakeKuna mwanake nilianzisha nae mahusiano baada ya muda akaniambia ni mjamzito binafsi nikaona ananichungulia.,...baadae niakapewa habari kua alishatumia kila mbinu lakini hakupata mtoto mpk Kwa waganga alienda lakini wapi....nachojiuliza iweje kua na Mimi Tu basi apate mimba....binafsi nimegoma kulubali kua hyo mimba ni yangu may be mpk mtoto atakapozaliwa kwani inatia ukakasi.
Mungu awape watoto wale wenye uhitaji nao Insha Allah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wagumba walikuwepo kabla ya kujulikana utoaji mimba na hizo Sindano..Aah wap, 99asilimia ni hivyo na kutumia sindano kwa muda mrefu,
kuna wengine wakipata mtoto mmoja au wawili wanaanza kuchoma sindano na baada ya hapo habari ya mtoto kwisha!
Ya Mungu mengi mkuu, yamkini Mungu amekutumia wewe kumfuta machozi, tafadhali mwamini na uwe karibu yake
Atakufanya kitegauchumi, mara mshono unauma mara hela ya nini vile - utakuwa mtumwa wake. Aidha ndugu yako akikutolea yai, napo shida mara atamdai kuwa ni wake. Mtoto akizaliwa anakuwa mtamuShukrani. Kwanini asiwe ndugu wala mtu wa karibu?
Ili kupunguza watu wenye mitazamo ya ajabu au wasiweza kuwaza nje ya boksi, kuna haja sasa serikali ipange nani azae na nani ... maana vichwa maji wa kujitakia wamezidi sasa...
Kama unahitaji ushauri zaidi unakaribishwa ila surrogate asiwe ndugu yako au mtu wa karibu
Mkuu huu ni unyanyapaa! Sio kila mtu amecheza na ujana! Utajiskiaje uwe wewe huna uwezo atokee mtu aseme hvi?? Hvi kwann tunakosa utu namna hii?
India ilikatazwa baada ya mashoga wa kimarekani kuimisuse. Wanaruhusu wahindi wenzao tu. Kwa kenya wapo wengi na Sauzi.