Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Hii mada wa wamama wasio na watoto polen sanaNaomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.
Usiwe na mtazamo mmoja, sio wote wenye tatizo hilo walitoa mimba
enhee wengine mlifanyaje?Usiwe na mtazamo mmoja, sio wote wenye tatizo hilo walitoa mimba
mlifanyaje wengine?Usiwe na mtazamo mmoja, sio wote wenye tatizo hilo walitoa mimba
Wabongo ni mabingwa sana wa kutoa hukumu hata katika mambo ambayo hawana ufahamu nayo.
Aah wap, 99asilimia ni hivyo na kutumia sindano kwa muda mrefu,Usiwe na mtazamo mmoja, sio wote wenye tatizo hilo walitoa mimba
Mkuu vitu vingine ni majaliwa.. Unaweza kupata ajali au kutumia madawa yatakayo pelekea kuharibu mfumo wa uzazi...
Masista wa Kikatoliki watakuwa wanapata tabu sana!!!Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki.
Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwa vile mume wangu ananipa ushirikiano mkubwa.
Karibuni.
Ukisema hivyo utakuwa unakosea sana huenda tatizo liko kwa Mwanaume.
Uwakumbushe wenzako wakiwa wanatiana moyo watueleze sababu zinazowafanya wasipate watoto sio wanatiana moyo tu.
sawa doctorWabongo ni mabingwa sana wa kutoa hukumu hata katika mambo ambayo hawana ufahamu nayo.