Alafu ukute mdada kang'ang'ana na mume ndani tu!kweli watu tumepishana sana !bora wangeadopt wakalea watoto wao kuliko kuzaa nje!...inauma sana jamani!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mm pia nimechefukwa uzi ukazingirwa na jinsia nyinginr!..hakuna kitu nataman km wote tupite labor jaman! Maana kuhadithia ngumu kueleweka..unashangaa kijitu kina 22yrs kinashauri ujinga!