Wanawake ambao huweka makucha bandia marefu vidoleni huwa sio mateso kwao?

Kabisaa! Wapo pia wasio na mambo mengi mkubwa.
Unakuta binti ana wigi kubwa kichwani, hereni kubwa masikioni, makucha marefu mikononi na miguuni, rangi imekolezwa kwenye lipsi mara sijui miwani mikubwa huku kabeba mkoba mkubwa 😄😄sijui wanamudu vipi aisee vitu vyote hivyo
 
Wengine wanapenda urembo, wengine wanaamini wanawavutia opposite gender.. kwahyo kila mtu ana sababu zake! Binafsi nazungumzia tips za kawaida tu wala sio hizo fujo zote!
 
Back
Top Bottom