Wanawake ambao huweka makucha bandia marefu vidoleni huwa sio mateso kwao?

Wanawake ambao huweka makucha bandia marefu vidoleni huwa sio mateso kwao?

Huyu kuoga shida, kuvaa shida, kula na kupika shida, kufua kila kitu kwenye mashine, kumshika mtoto na kumwogesha shida.
 
Wanawake wenye makucha marefu bandia vidoleni kwenye mikono huwa wanafanyaje mambo mbalimbali kama kupika, usafi, kufua, kutawaza, mapenzi n.k ?

Huwa sio mateso na bugdha?
View attachment 3646311

Sijui ni Ushamba au sijui ni Ujanja?

Naomba mtu anieleweshe sijawahi ona mama zetu wakiweka kucha ndefu
 
Mwanamke anayebandika kucha hana tofauti nba shetani kuanzia matendo hadi ufanano wa mwili na sura.
 
huwa wanakuwa €¢÷π✓°^ chafu, kwani hawawezi kujisafisha vizuri, namna bora ya mwanamke wakati wa kujisafisha ikulu lazima aingize 🤟, sasa kama amebandika hayo makucha ya kishetani, atawezaje kujisafisha?
 
Back
Top Bottom