Wanawake ambao huweka makucha bandia marefu vidoleni huwa sio mateso kwao?

Wanawake ambao huweka makucha bandia marefu vidoleni huwa sio mateso kwao?

Hamna unajua nimeshatia hizi drink responsibly 😂 akili inahama kidg

by the way Uzi/nyuzi zako zinagusa maisha ya watu directly i like it ..... congrats madam

Kama hizi ee? Thanks 😃


 
Kama hizi ee? Thanks 😃


Kuna ile ya skanka,, home orign ni wap mumy? 😫
 
Unakuta binti ana wigi kubwa kichwani, hereni kubwa masikioni, makucha marefu mikononi na miguuni, rangi imekolezwa kwenye lipsi mara sijui miwani mikubwa huku kabeba mkoba mkubwa 😄😄sijui wanamudu vipi aisee vitu vyote hivyo
Umesahau kope, ikibidi na nyusi nazo zipigwe msasa🤣🤣
Aaah mtuache tu kwakweli.
 
Binafsi napendelea mwanamke mwenye kucha nzuri nechurooo if not aliweka ziwe km za staff zinavutia kingine, kope moja moja au fupi sio yale makamba km ndevu za pweza
Wewe kijana kucha za staff ndio zikoje? Na unajua mpk kope moja moja duhhh!!🙆🏽‍♀️
 
Wewe kijana kucha za staff ndio zikoje? Na unajua mpk kope moja moja duhhh!!🙆🏽‍♀️
Km wafanyakazi ofisini wengi wanaeka kucha fupi, ndo nimesema za staff, kope nazielewa coz ex wife nilikuwa nampa hela akaweke hivyo akija lzm atoe maelkzo ndo nikajua kupitia huko
 
Km wafanyakazi ofisini wengi wanaeka kucha fupi, ndo nimesema za staff, kope nazielewa coz ex wife nilikuwa nampa hela akaweke hivyo akija lzm atoe maelkzo ndo nikajua kupitia huko
Dahh nimeumia niliposoma hapo ex wife! Nikajua wewe bado kijana mdogo ila tayari una ex wife! Pole sana mkuu..
 
Back
Top Bottom