Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Acha uzenge 🤣Wanapata mateso ila wanavumilia tu huku wakiwa na matumaini kuwa ipo siku hizo kucha ndefu kama za duma zinaweza kuwasaidia kumrarua mume pindi anapoleta kibesi ndoani.
Acha uzenge 🤣Wanapata mateso ila wanavumilia tu huku wakiwa na matumaini kuwa ipo siku hizo kucha ndefu kama za duma zinaweza kuwasaidia kumrarua mume pindi anapoleta kibesi ndoani.
Khee! Umenishinda tabia mahi😁Mateke yatokanayo na raha ya kufika kwa kilele nayapenda. Hata mimi nitakuwa naya-enjoy.
🔥Acha uzenge 🤣
Utamu hadi kisogoni ujue! 😋Khee! Umenishinda tabia mahi😁
🤣🤣🤣😂 Dogo ya gudiii. Kwaiiiii
Mpenzi wangu yule.🤣🤣🤣😂 Dogo ya gudiii. Kwaiiiii
Hahahahahahahahahahahahahahahahahabbbab vipi kuhusu odiiliiii shaa........oMpenzi wangu yule.
Mambo JoanahHizo za kubandika zinafaa zaidi miguuni
Poa Monetary doctorMambo Joanah
Unaendeleaje dearest sis, kipindi cha nyuma nikajua wewe ni mtu mzima I mean 40's plus kumbe we are age mates.........
Urembo umewazidi nguvu wasichana.Wanawake wenye makucha marefu bandia vidoleni kwenye mikono huwa wanafanyaje mambo mbalimbali kama kupika, usafi, kufua, kutawaza, mapenzi n.k ?
Huwa sio mateso na bugdha?
View attachment 3646311
Daaah sikumbk vzr Ila upo early 30s if not late 20s 😂 pls correct meNaendelea vizuri
aise , enhee age mates ukiwa unamaanisha mimi na wewe tuko around miaka mingapi? 😃
Daaah sikumbk vzr Ila upo early 30s if not late 20s 😂 pls correct me
Mgongoni anakuwa kama alikutana na majambazi wakamkata mapanga, dah mnatutesa.Zinasaidia muda wa shughuli unamparua haswaa!!
Hamna unajua nimeshatia hizi drink responsibly 😂 akili inahama kidgHukumbuki? Kuna mtu alikutajia ama? 😃