Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

humu ndani kuna mashoga wawili washawahi kutaka game wakijisifia kuwa wao huwa wanakuwa vizuri kuliko hata mademu. nlipowakatalia na kuwafukuzia mbali waligeuka kuwa maadui wangu wakubwa kwenye kila thread nikianzisha walihakikisha wanakuja kutukana. na sifahamu kwa nini mashoga huwa wana matusi sana....
 
Uzuri wangu unaniponza sana....hawa Magay wananisumbua sana,,sijui niganye nn kuwakwepa
 
WAKUU ACHENI KULEA HUU UPUMBAVU , MIMI NIKIONA FRIEND REQUEST KUTOKA KWA MTU MWENYE MACHO YA KUREMBUA NAANGALIA PICHA ZAKE NYINGINE NABLOCK MUDA HUO HUO, NA MWANAUME MWENYE TABIA ZA KIKE HUWA SITAKI MAZOEA NAE KABISA ....... SHENZI SANA ...... SAME APPLIES KWA MASHUGA MUMMY NA WANAWAKE WANAOONEKANA WANAJIUZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakti mwingine wanakutangazia dau nawe huna hela inakubidi kubeba.
 
Kuna siku kule fb nilitupia picha kali watu wengi waka like na kucomment ila zilinishangaza comments za jamaa mmoja ambaye ni mtu mzima wa age ya 40+ yeye alinisifia sana alikuja hadi inbox na kudai anataka tuonane kabisa na alikuwa serious akafunga safari kutoka Dar kuja Tanga
Alipofika Tanga nikamzimia simu lakini hakukata tamaa tena alikuwa mwalimu mkuu wa shule fulani kubwa tu hapo Dar...
Hakukata tamaa akaja tena mara ya pili nikamfanyia yaleyale hakukata tamaa akaja tena kwa mara ya tatu nikaona ngoja nikamit nae tu nijue anataka nini..

Nikampokea pale stend nikamleta hadi home kiukweli alionekana mstaarabu na huwezi kumzania kuwa ni bwabwa.. Akadai anataka alale hapohapo home nikamgomea alibembeleza sana nikamwambia zipo guest nyingi tu nitampeleka akalale..

Akakubali kishingo upande.. Nikampeleka guest, alinibembeleza hadi kutia huruma pamoja na kunishawishi kwa hela ila nilikataa katakata (kiukweli kwa style aliyonibembeleza angekuwa ni mwanamke hata mzee kiasi gani ningefumba macho nikagegeda tu)

Ikabidi nitoke kwa nguvu niende home roho iliniuma sana ila sikuwa na namna, ikabidi nipitie maskani nikawapa story masela mmoja akapenda kwenda kumkamua nikamuunganisha nae wakamalizana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umetudanganye sema ulifanya Ila ukuendelea sana na huo mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atuepushe,
Kama mzazi inaumiza sana
[emoji3][emoji3]ila umenifurahisha unavosema ameegemea kisuzuki chake tafikiri toy car.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…