Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah mm nasumbuliwa na mapunga mara kwa Mara, yaani mpaka kuna muda nahisi huenda nilipangiwa kuoa punga! Maana sio kwa usumbufu huu asee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo samahani umemuomba nani ??
Mmmh Dunia imeisha jamani , sipati picha ulivoanza kusali na kukemea kimoyomoyo .Hivi nakuaje mtu kupata hisia kwa mtu wa jinsia kama ile ile yake? ,uwiiiMimi hadi sasa nasumbuliwa na wadada 2 mtu na mama ake mdogo, ni marafiki zangu kitambo ila nilikuwa sijui kama wana kamchezo huko, ila walikuwa wakarimu sana jamani na mimi nikawa nawafanyia ukarimu japo walikuwa wanaonyesha kutokuhitaji, siku waliponifungukia nilishangaa na kwa kweli nilikimbia, kwanza walilewa sana na mimi situmii pombe, nikaamua kuwarudisha kwao ili nami niende kwetu, sasa ile nafika tu na kuwaingiza chumbani mmoja kufunga mlango Kasema hutoki leo, nikajua utani tu, wakatoa vifaa vyao pamoja na sex dolls kila saizi, nilitetemeka mno kidogo nizimie, sasa mmoja karukia titi mwingine kiuno na usumbufu mwingi, nilitumia Akili nyingi kuliko nguvu kuwakimbia, niseme tu imani yangu ndo iliyonisaidia vinginevyo ingekuwa kwisha habari yangu, maana ni kama wamesomea, Na tangu siku hiyo sijawahi kaa nao meza moja hata kwa maongezi Ila bado wananipa zawadi mbalimbali na hunifuata kazini ila nyumbani nimewapiga marufuku, hatari sana hawa watu
Hahahahahahhaahahhahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ngumu kumeza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
Kila siku hua nasema mimi, maana kama kitu unachukia huwezi kukizungumzia ila ajabu kwa wiki lazima ukute mada kama hizi.Mada kama hizi pia zinachochea vitendo vya ushoga zikizoeleka watu wataona kawaida mwishowe yanatokea ya kilingo
Afu baadhi ya Watanzania ni watu wa ajabu sana, hivi kuna la ajabu katika suala la mwanamke kuliwa mata.ko?Aiseee mie nilichogundua wadada wengi ingawa sio wote kuanzia miaka 30 n kuendelea wanatoa ndogo coz wapo wengi saaana ukikutana nae anakulazimisha kuila
Ulimpa namba yako?Halafu hawa watu ni ving'ang'anizi yaan hata ukimkataa atapigana hadi siku ya mwisho, ila wanakera imagine mwanaume mwenzio anakutumie text ''I LOVE U COWMAN, I PROMISE TO OFFER WHAT YOUR GIRL CAN'T" .Jamaa anakutafuta kila baada ya lisa alkua aninitext umekula bby, unafanyaje bby dah ***** sitasahau hadi siku niliamua kumtukana.
Aisee duniani kuna mambo.Mimi hadi sasa nasumbuliwa na wadada 2 mtu na mama ake mdogo, ni marafiki zangu kitambo ila nilikuwa sijui kama wana kamchezo huko, ila walikuwa wakarimu sana jamani na mimi nikawa nawafanyia ukarimu japo walikuwa wanaonyesha kutokuhitaji, siku waliponifungukia nilishangaa na kwa kweli nilikimbia, kwanza walilewa sana na mimi situmii pombe, nikaamua kuwarudisha kwao ili nami niende kwetu, sasa ile nafika tu na kuwaingiza chumbani mmoja kufunga mlango Kasema hutoki leo, nikajua utani tu, wakatoa vifaa vyao pamoja na sex dolls kila saizi, nilitetemeka mno kidogo nizimie, sasa mmoja karukia titi mwingine kiuno na usumbufu mwingi, nilitumia Akili nyingi kuliko nguvu kuwakimbia, niseme tu imani yangu ndo iliyonisaidia vinginevyo ingekuwa kwisha habari yangu, maana ni kama wamesomea, Na tangu siku hiyo sijawahi kaa nao meza moja hata kwa maongezi Ila bado wananipa zawadi mbalimbali na hunifuata kazini ila nyumbani nimewapiga marufuku, hatari sana hawa watu
Ahahahaahahahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...