Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Kuna Hamu Money's na Iddy Kikanga! Aliyepo tibisii ni Hamu Money's na Iddy Kikanga juzi kati walitifuana na Msemaji wa [emoji881] club! Kumbe semaji wa [emoji881] club nae mchele mchele
We jamaa hahahah....inatosha ishia hapo hapo naona unapigia mstari jibu
 
Kama ushakula shoga nawe ni shoga tayari
 
Imagine sikuwah kumjua kihivyo ila ni dada tu wa mjini, na alikua Peace sana anaonekana, maaa mastaa wengi sana walimpost na Sijui alikufa na nini , nitafuatilia nikupe taarifa binamu , ila alikua ladies n gentlemen
Hahaha!!!ahsante alikua maarufu haswaa...alikua tomboy km muna mindu
 
Hahaha!!!ahsante alikua maarufu haswaa...alikua tomboy km muna mindu

Basii nilikua namfananisha na muna Mindu binam , na wamefanana sana, wadada wa bongo wengi wamesagwa na huyo tindwa, nasikia alikua anajua kunyonya k balaa[emoji23]
 
Wewe ndo unaeleta nuksi kwa kugawa mduku bhana. [emoji16][emoji16][emoji16] Kama vipi gawa namba kwa wadau wakushugulikie kisawa sawa wenge lipungue.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Basii nilikua namfananisha na muna Mindu binam , na wamefanana sana, wadada wa bongo wengi wamesagwa na huyo tindwa, nasikia alikua anajua kunyonya k balaa[emoji23]
Me nilikuwa naona post za wasanii tu, afu nyingi zinatoka kwa wasanii wa kike. Kumbe walikuwa washasagwa?
 
Mi nimependa tu hapo kuwa una pesa, magari na nyumba nzuri , eeh Mungu wa mbingun niepushe na hizi tamaa warumi mie[emoji23][emoji23], watantoa kizazi Mwaka huu[emoji16][emoji16]
Mashoga wanakuwaga na vizazi siku hizi? [emoji849] [emoji849] [emoji849] Sema watakuto firigisi...

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo unaeleta nuksi kwa kugawa mduku bhana. [emoji16][emoji16][emoji16] Kama vipi gawa namba kwa wadau wakushugulikie kisawa sawa wenge lipungue.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app

Wanishughulikie wataniwezea wap mie malaya nimekubuhu, sijaona kipya bado binamu , inshort sijaona maajabu bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…