Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Nilikutana na tomboy mmoja hivi harusini, akaniomba no nikampatia kesho yake akanitafuta tukachat kawaida tu. Baada ya siku kama mbili hivi akanitongoza na kuahidi kunipa hela. Nkaona sio kesi alafu nishasikia kuwa ni vitamu ukianza huachi bla ! bla ! kibao nikaamua kwenda kupractise. Baada ya kufanywa hata sikuona utamu wowote Nililambwa lambwa mwili mzima na kuingiziwa vidole makuni na kuchezewa ki** mi baada ya hapo nkapewa hela aliyoniahidi na kunirudisha nyumbani, nilichukia na hata genye hazikuisha [emoji36][emoji36] alinitia tu genye zaidi na zaidi nikataman hata ningeenda kwa my sponsor japo ni kimoja chali lakini Mkuyenge ungeniingia kisawa sawaa.
 
Nilikutana na tomboy mmoja hivi harusini, akaniomba no nikampatia kesho yake akanitafuta tukachat kawaida tu. Baada ya siku kama mbili hivi akanitongoza na kuahidi kunipa hela. Nkaona sio kesi alafu nishasikia kuwa ni vitamu ukianza huachi bla ! bla ! kibao nikaamua kwenda kupractise. Baada ya kufanywa hata sikuona utamu wowote Nililambwa lambwa mwili mzima na kuingiziwa vidole makuni na kuchezewa ki** mi baada ya hapo nkapewa hela aliyoniahidi na kunirudisha nyumbani, nilichukia na hata genye hazikuisha [emoji36][emoji36] alinitia tu genye zaidi na zaidi nikataman hata ningeenda kwa my sponsor japo ni kimoja chali lakini Mkuyenge ungeniingia kisawa sawaa.
Kimoja chali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]


Fanya mpango upunguze nyege maana naona sponsor anazidi kuzirundika tu
 
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo.

Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa alipotokewa kwa mara ya kwanza na kama alikubali au alikataa alikurana na changamoto zipi. Nianze na mimi mwenyewe nimewhi kusumbuliwa na boss wangu mmoja wa kiume kule mombasa nilikuwa kuwa field attachment, by then yule jamaa alikuwa front office manager, mtu wa mtaa mmoja unaitwa kibokoni, kwa wasafiri wengi wa mji wa mombasa huu ni mtaa wa mashoga wengi, nilipata wakati mgumu mpaka nikawa namkwepa mwisho nikaacha field attachment kwa sababu tofauti.

Alikuwa hana aibu nakumbuka kabla sijamjua tulienda wote nje usiku mmoja kula nyama choma na kuongea mawili matatu, wote tulikuwa hatunywi pombe lakini huyu jamaa alikuwa ameniambia atachelewa kwenda mjini ambapo ni kwake kwa hyo tukatoka na kwenda kupata nyama choma, nilikuwa na muhisi ana mwagiwa maji nikasema acha nijionee, kwa usiku ule akishindwa kunitamkia live lakini alikuwa anajilegeza.Nakumbuka nilimuuliza ulisema unataka tuongee usiku unazidi vipi?

Alinijibu vitu tofauti mwisho nika jiongeza na kumuuliza kwa kiingereza "Abdio samahani kama nitakukera naomba nikuulize kitu.. Akanijibu bila smahani kede,uliza tu.Nikamuuliza are you gay? Hakunijibu aliitikia kwa kichwa kama mtoto wa chekechea,nikajiskia vibaya sana.

Akafunguka mengi sana akaniambia niwe na siri na kadhalika nikamjibu kuwa nitampa jibu,kipindi hicho simu za mkononi kama zilikuwepo mimi sikuwa nayo it was in 1997/98.Usumbufu ulikuwa ule wa live.Huyu jamaa alikuwa shoga.

Bwana Abdio nakukumbuka sana sijui kama uko hai. Samahani mimi sio mwandishi mzuri.
Kwa mara yakwanza kutongozwa ilikuwa kinondoni tunakula vitu niliogopa washikaji wakanitia moyo nikakamua usiku huo tangu wakati huko .-....
 
Watu wa Mombasa Kenya ni wafiraji wote na ni mashoga si wanaume si wanawake hutumia kiungo cha nyuma kuplay
Usiniulize kitu
unataka kuniambia kuna mini sodoma pale mombasa....???
 
Wengine wanakuaGa siyo wasagaji wala mashoga ila ni special task wakuu katika kitengo hivyo umakini waitajika sana na mola atunusuru maana mambo ndo yanashamiri sasa kila mtaa mashoga wapo
 
Teh teh...


Lengo la kusema ulitumia kinga ni nini? "(Nilitumia Kinga lakini) "

Kwamba unataka kusema kuwa kifir*o kilikuwa sio halisi ni cha juu juu tu???

Ndivyo unavyotaka kujengea watu hizo fikra???

Anyway, thanks for being honest.........
Hahaha niliona hii janja ya jamaa...
 
hebu tuseme ukweli USHOGA ni kujitakia au ni mazingira au huwa inatokea tu mtu kuwa hiyo maana mi zamani nlijua ni tabia ya mtoto wa kiume kukaa na madada zao sana au watoto wa kike sana,
 
Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
Saaaaafi sana. Kusagwa ulisagwa na hela ukachukua. Kuni za moto wa milele zinaongezeka jmn.
 
Nilikua Arusha.., nimeingia Triple six kusakata raha..
Nimekaa ktk kona moja nawinda kwa macho nione mtoto mzuri nimsalindie.., hamadi nasikia mkono unanipapasa mbele hapa ktk zipu ya jeans yangu... Nikapata matumaini, hapa na mie kumbe nimedondokewa na zali la mentali..

Kutazama mkono unatokea wapi ..., lahaulaaa... [emoji134] , toba yailahi.., kijana shombe shombe ananitazama kwa matamanio huku akijing'ata ng'ata vidole...
Kilinitoka kibao hicho..., na raha zote ziliishia pale pale..!

Hiyo ilikua ni mara ya pili kutokewa na shoga.., hapa Dar yalishanikuta pia.

Kwa kweli kutokewa na shoga inafedhehesha sana..!
Kweli nifedheaa kubwa sana mkuu
 
Back
Top Bottom