Wanawake, baada ya ugomvi na mumeo kanuna yupo kitandani unamuamsha vipi akale chakula?

Wanawake, baada ya ugomvi na mumeo kanuna yupo kitandani unamuamsha vipi akale chakula?

Katika vitu huwa siachi ni chakula, maana kila mtu na njaa yake, kula nitakupa vizuri na kulala, ila atajua hajui,

Ukisusa kula humkomoi maana njaa itakuuma wewe, na kikibak kikaharibika hasara unapata wewe, maana asubh utadaiwa hela ya kula tu hata katika msuso wako.

Kile anachoringia ndio unakisusa humgusi, hakuna adhabu kubwa kama hiyo, anajilengesha unakula huyu anajitingisha unakula buyu mpaka aseme
 
Ewaaa..mwanamme gani anasusia chakula? Yaani anapikiwa msosi kwa upendo wote halafu anasusa? Alale na njaa yake 🤣
Ukimvuruga huo upendo unatoka wapi? maana halisi ya upendo ni kuhakikisha haumvurugi, kumfanya awe na amani hapo utakuwa unampenda, unamfanyia visa halafu .....
 
Mwezenu huku anafanya hivi mimi tukigombana anasusa kabisa anakua kama apiki alafu na vunga kimnya wala siongei naingia zangu chumbani nikilala anapika alafu gafla unashangaa mtu kaja anaanza kukupapasa kifua mara mkono kaweka kwenye rungu anapapasa kwa upole anasema utakula ndo ule na kiss juu kabla sijajibu anaichomoa anaanza kuilamba na kuinyonya kidogo sasa kazi kwako mwanaume uchague kuendeleza ugomvi na gubu kama mademu au utumie akili upeleke moto mpaka chakula kipoe mkimaliza akipashe tena mle kiporo huku mnapiga story na macho ya kulegea legea ndo mlale kesho muamke kama hakuna ugomvi wowote.

Japo siku nyingine mama watoto akinivuruga anajuaga kabisa mimi sishuki na sitakagi suluhu kirahisi sasa yeye anasusa hasa na kufura na mimi na jua hapa ananipima aone mwisho wangu mimi naamua kazi kwangu ni kutoka nje kupoteza muda mpaka akae sawa aanze kuniuliza mwenyewe upo wapi huoni usiku unataka kuniletea kesi , basi nikirudi story kama kawa na mletea na kakitu anapendaga anachangamka kishingo upande ila hiyo samahani utakayo ombwa lazima utaanza kujitetea unaumwa lasi hivyo utajibu ulipotoka nje ulienda kuchepukia wapi maana hataakikisha kakukamua hadi ukojoe magoli hewa
 
Ukimvuruga huo upendo unatoka wapi? maana halisi ya upendo ni kuhakikisha haumvurugi, kumfanya awe na amani hapo utakuwa unampenda, unamfanyia visa halafu .....
Bila kujilipua siku moja moja utajuaje kama yaliyokuwemo bado yamo? 😃😃😃
 
Hapa ni nyuma ya key bord mkuu.
Kiuhalisia....
Kila mwanamke anaempenda mwanaume wake, atafanya kila awezalo ili kumaliza ugomvi wa ndani...😊
Ukiona mwanamke anapenda ugomviugomvi na hataki kusolve matatizo mara moja fahamu ya kua hupendwi, mwanamke anaekupenda ni vigumu kukupoteza kwa namna yoyote ile
 
Huko kwenu kapita Mwenyekiti wa Chama gani Kamanda ?
 
Back
Top Bottom